Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Walisema kwa system ya BOT watumishi wote watakuwa wanapata mshahara kwa wakati mmoja, then what is this?
 
Kutoka katika vyanzo tofauti vya magroup ya watumishi wa umma yameibuka malalamiko kuwa kuna baadhi ya watumishi wa umma hawawekewa mshara wa mwezi huu wa saba uliotoka leo mchana

Sababu haijulikani maana tangu zoezi la uhakiki wote umepita wapo salama kabisa na mshahara walikuwa wanapata

Swali je hapo ulipo vip?
Wawe na subira imeanza kusoma mdogo mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka katika vyanzo tofauti vya magroup ya watumishi wa umma yameibuka malalamiko kuwa kuna baadhi ya watumishi wa umma hawawekewa mshara wa mwezi huu wa saba uliotoka leo mchana

Sababu haijulikani maana tangu zoezi la uhakiki wote umepita wapo salama kabisa na mshahara walikuwa wanapata

Swali je hapo ulipo vip?
Ukweli daima utabaki kuwa ukweli.... SERIKALI IMEFILISIKA...

KATAA, KUBALI, HUO NDIO UKWELI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom