Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Kutoka katika vyanzo tofauti vya magroup ya Whatsapp Ya watumishi wa umma yameibuka malalamiko kuwa kuna baadhi ya watumishi wa umma hawajawekewa mshara wa mwezi huu wa saba uliotoka leo mchana


Sababu haijulikani maana tangu zoezi la uhakiki wote umepita wapo salama kabisa na mshahara walikuwa wanapata

Swali je hapo ulipo vip?what

Kabla ya kulalamika na kuulizia Mshahara je umeshathibitisha kama hao wasiopata wana Vyeti halali vinavyotakiwa na Serikali?
 
*Kwa Mara ya kwanza serikali imelipa mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa wakati mmoja Leo kupitia Mfumo wa GSPP Ni vema kila mtumishi aangalie salio la mshahara. Ukiona hujapata mshahara ujue sababu zifuatazo zinaweza changia; Akaunti ya benki Ina shida, majina hayafanani na akaunti, majina matatu kufanana na mtumishi mwingine wa umma au Vyeti Feki.*

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Mcheki salio zenu
 
Back
Top Bottom