Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Jamani tuwe na Subira kumbukeni kuwa Mwezi huu Serikali imeanza kulipa mshahara kwa mfumo wa kielectronic Direct from BOT hivyo mwanzo una changamoto zake hivyo ambao hamjapata muwe na Subira mtapata tu mambo yanaenda vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msikate tamaa ndugu ni system tu walio tumia.
Chamgamoto kama hii ilishawahi jitokeza wakati wanaanza kulipa mishahara moja kwa moja kutoka hazina.

Hans Pol
daaa hata humo pia nilikuwemo tulikaa 2weeks bila mshahara 2014 july
 
Ila wafanyakazi tuna nyanyasika.
Private sector shida tupu,huku Kwa magufuri kila siku uhakiki.
 
Back
Top Bottom