Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Haki ya MAMA ni aibu, yaani mshahara ndii kila kitu asee kwa watu, niliona salary slip ya Architect aliesoma miaka 5 pale ARU analipwa 950,000 anaoenda nao nyumbani kila mwezi ni 625,000 hayo ni makato ya serikali tu.
 
Afisa utumishi umempata wapi ukamuuliza weekend hii

acha uongo
 
Kuhusu uzi huu, mpaka leo tarehe 30/7/2017 baadhi ya watumishi bado hawajapata mishahara ya mwezi wa saba na hawajapewa maelezo yoyote yanayoeleza nini wafanye ili wapate mishahara hiyo.

Kwa mwenye uwezo wa kuishauri hazina/serekali ni vizuri akaishauri ili watumishi wote ambao hawajapata mishahara wajulishwe kwanini hawajapata mishahara kama kosa ni lao watakiwe kurekebisha, kama wametumbuliwa basi wajulishwe vilevile.

Ukila ukashiba na kusaza usiwasahau wenye njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…