Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

*Kwa Mara ya kwanza serikali imelipa mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa wakati mmoja Leo kupitia Mfumo wa GSPP Ni vema kila mtumishi aangalie salio la mshahara. Ukiona hujapata mshahara ujue sababu zifuatazo zinaweza changia; Akaunti ya benki Ina shida, majina hayafanani na akaunti, majina matatu kufanana na mtumishi mwingine wa umma au Vyeti Feki.*

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Mcheki salio zenu
chanzo wapi
 
Yaani mwezi wa saba tarehe 21 watumishi wamepokea mishahara!
Najiuliza tu kama mngeamchagua yule mgonjwa si ingekuwa Oktoba?
 
kama hujapata nenda kwa HR wako atakuapload your details nusu SAA tuu salary inaingia
 
Yaani mwezi wa saba tarehe 21 watumishi wamepokea mishahara!
Najiuliza tu kama mngeamchagua yule mgonjwa si ingekuwa Oktoba?
We endelea kumuita mgonjwa ohoo utakufa shauri yako wote waliomuita mgonjwa washakata.
 
Back
Top Bottom