Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Mhasibu wa Idara ya Usalama Barabarani (Traffic Police) labda kachelewesha kupeleka makusanyo ya Juni. Wale waliokosa wafuatilie kwa ukaribu tweet account ya Humphrey Polepole huenda wakaitwa Lumumba
 
Hadi muda huu kwangu hamna kitu...kuna jamaa ananidai akisikia umetoka nikimueleza haujaingia sijui kama atanielewa...
Hapa wife nimemwambia nasikia wengine hawajawekewa hebu cheki kwako akawa mbishi, kaingia kucheki zero yupo chooni hali mbaya [emoji23][emoji23]
 
Mimi nimeangalia mara mbili kwa kupitia simbank lakini hakuna kitu,kama ni akaunti kufanana na payroll mimi nilipoajiriwa nilifungua akaunti iliyofanana na jina lililopo katika barua ya Ajira.Sasa iweje mshahara uuingie kwamafungu.Labda wana sababu ya kutuambia juu ya mkanganyiko huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Same case! Ngoja tuwasikilizie kwanza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani tuwe na Subira kumbukeni kuwa Mwezi huu Serikali imeanza kulipa mshahara kwa mfumo wa kielectronic Direct from BOT hivyo mwanzo una changamoto zake hivyo ambao hamjapata muwe na Subira mtapata tu mambo yanaenda vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu tunarudi kulekule. Pesa inapigwa fixed kwa siku 20 mnaambiwa mtandao watu wanavuta chao ndo mnaingiziwa upuuzi wenu
 
[QUOTNina ingson, post: 22403228, member: 250614"]Mshahara umeingia toka jana na subiria mpaka leo mchana usipongia wasiliana na afisa utumishi wako. Kingine hakikisha taarifa zako za kibenki kwa maana majina yako sahihi na ya utumishi

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Kama majina ni tofauti
 
Sipati picha mlivyokodoa macho kwenye simbanking. Hapo mshanyofolewa kwenye payroll
 
Walisema kwa system ya BOT watumishi wote watakuwa wanapata mshahara kwa wakati mmoja, then what is this?
Mwenye funguo za pesa anazunguka na mjombawe kwenye ziara. Hao waliopata ni mabaki tu. Msubirini arudi ziara
 
Ndugu,usije kuwa unaongea kwa furaha uliyonayo ya wallet yako kujaa?
Chanzo cha taarifa hizo ni kipi/nani?
Kumbuka kusambaza taarifa ya selikari sio sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom