Jicho la mganga
Member
- Feb 12, 2023
- 97
- 150
Hakika ukicheka na nyani utavuna mabua!
Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya WILFRED FRANK NJAU amesikika akilalamika kuombwa rushwa na maafisa wa TANESCO Mbezi beach, kiasi cha Laki tano ili apatiwe huduma ya umeme!
Watumishi hao walifika katika nyumba ya NJAU wakiwa gari la TANESCO na kuchukua kiasi cha laki tano!
Baadae NJAU alishangazwa kupokea bill nyingine ya malipo control 991034036100
Baadae NJAU alirudi ofisini kudai pesa yake kwa watumishi hao ambapo walichanga na kumrudishia;
Watumishi hao aliwataja kwa jina moja la injinia Samweli na wenzake!
Kwa taarifa zaidi tunaomba #TANESCO Mtupe ufafanuzi wa kadhia hiyo! TANESCO