DOKEZO Baadhi ya Watumishi wasio waadilifu TANESCO wachukua rushwa ya laki tano

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
hawa.tanesco hawana la maana nchii hii.
Management inajitahidi kupambana na wahuni wachache, tutoe ushirikiano. Alieomba rushwa ni mfanyakazi sio tanesco, sitetei ila nakaa pembeni kuona watashughulikiaje hili....
 
Sio hayo. KINACHOFQNYIKA SASA HIVI UNAKUTA ENEO LA KIWANJA UNAAMBIWA LINA DAIWA MITA ZILIWAHI KUWEPO ZAIDIBYA 5 WANAKUPA MAHESABU KUWA WANADAI MILIONI MPAKA 20.

Swalli ukiwauliza iweje mnafunga mita kwenye eneo ambalo hamjajua umiliki.

Jibu wanakwambia sisi akija mtu anaomba maomb mapya sisi hatuitaji chochote zaidi ya kitambulisho cha nida
Tunamfungia. Sisi kuna bi mkubwa kaletewa deni la milioni 20. Kuuliza tanesko wanakwambia hayo madeni yalikuwapo nyuma watu waliomba mita.ingawaje sio wamiliki.
 
Kazi kweli kweli
 
Ngoja waje
 
Sasa laki Tano si pesa ya mboga tu!!Kuna watucwanapiga mabilioni ya pesa,
 
Sio hayo. KINACHOFQNYIKA SASA HIVI UNAKUTA ENEO LA KIWANJA UNAAMBIWA LINA DAIWA MITA ZILIWAHI KUWEPO ZAIDIBYA 5 WANAKUPA MAHESABU KUWA WANADAI MILIONI MPAKA 20.

Swalli ukiwauliza iweje mnafunga mita kwenye eneo ambalo hamjajua umiliki.

Jibu wanakwambia sisi akija mtu anaomba maomb mapya sisi hatuitaji chochote zaidi ya kitambulisho cha nida
Tunamfungia. Sisi kuna bi mkubwa kaletewa deni la milioni 20. Kuuliza tanesko wanakwambia hayo madeni yalikuwapo nyuma watu waliomba mita.ingawaje sio wamiliki.
Nisaidie kuelewa hili mama Joan
 
Back
Top Bottom