Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kwa makusudi kabisa Waamini Wakatoliki wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Kwani kuna shida yoyote. Kanisa moja Takatifu la mitume Hadi kitimoto tunakula madhabahauni. Vinyo ni sehemu ya ibada Acha ushamba wako wa Kwa mwamposa
 
Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.

Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
 
View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kwa makusudi kabisa Waamini Wakatoliki wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.

Kwani si huwa inasemekana Wakatoliki kupiga masanga sio dhambi?

Sasa ulitaka habari ifichwe na watu wanamiminiana masanga hadharani kabisa, tafrija ambayo inaoneshwa ilipangwa iwe hivyo...
 
Umezidisha uongo.
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…