Tena nje wamepunguza makali, huwa tunainywa humo humo ndaniBaadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa
Waamini Wanaalikwa kutatakatifuza malimwengu kwa kuishi na kufundisha Upendo.Wakatoliki hawataki ku- complicate, wao wanasema huwezi kuendesha maisha ya duniani yakawa kama ya peponi. Ishi kiuhalisia
Ni kanisani au nje ya kanisa!? Mbona hueleweki!View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Kwenye amri kumi za Mungu hakuna mahali ilipoandikwa kuwa 'usinywe pombe'View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Kwani Yesu ni Mungu?Hakuna jipya. Imani yao inaruhusu. Wako wanaokula nguruwe. Wako wanaomkana Yesu sio MUNGU wako wanaosali Sabato jumamosi wako wanaonena kwa lugha na kuanguka mapepo,, nk nk. Hizo ni Imani na itikadi zao
Lakini Yesu huyohuyo ndiye aligeuza maji kuwa divai njema (a fine wine). Huyohuyo Yesu alikuwa ananakula na kunywa.Ukristo halisi uko ndani ya Yesu pekee yake. Mfuatilie Yesu kupitia Biblia takatifu ndio utaujua ukristo halisi, na sio kufuatilia hizi hadithi za haya madhehebu mbali mbali.
Tofautisha kutengeneza tena baada ya kuombwa na mama yake ila hakunywaS WAMERUSIWA JAMANI KWANI KUNA SHIDO? YESU NAE SI ALIKUNYWA
Kwani Pombe ni halali, kwani Sabato ni ijumaa kwani nguruwe ni chakula, kwani wafu wako mbinguni, kwani Yesu sio MUNGU ? Kwani ziko nyingi na Imani ziko nyingi na hao walioonekana wanakunywa konyagi wamefanya hivyo kwa Imani na mafundisho yao, bila kujali uhalali au uharamu, ukweli au uongo.Kwani Yesu ni Mungu?
Wewe hunywi pombe?Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.
Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
8.KristuHata ibada zao zinatumia kiswahili tofauti
- Kitubio
- Mafungo
- Komunyio (kuna makabila hilo ni jina la sehemu ya mwili)
- Dominika
- Homilia
- Komunika
- Nk
View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Upangani ni nn??Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.
Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Kanisa lipi liliwahi kumfikisha mtu uko halafu akarudi kutoa ushuhuda?Yaan hapa aibu ni Kwa Gazeti alitoa taarifa au Kanisan??
Roman Catholic halijawahi kua Kanisa la kumfikisha mwanadamu katika Ufalme wa Baba Mungu .
Mkuu divai ni nini,?Hivi unajua nuhu alizaliwa na aliishi katika tamaduni za kibagani japokuwa alisikia sauti ya Mungu ikimwambia atengeneze Safina na akatii? Hata unywaji wa pombe wa Nuhu haukuwa mpango wa Mungu na mwisho wa siku ulizaa aibu, laana na utukufu kwa shetani. Mungu hawezi kuruhusu jambo lenye kuzaa uovu katika maisha ya watu.
Kitamaduni za kiitaliano na ibada zao za kibagani zinaruhusu unywaji wa pombe popote pale, Ukristo wa kale ulipotua Italy uliingizwa katika falme zao na kuboreshwa ili kuweza kuchangamana na tamaduni za kibagani za kiitaliano na kutokea hapo ukaenezwa duniani kwa mwamvuli wa kanisa. Leo hii ndio tunauita ukatoliki.
Ukristo halisi na unywaji wa pombe wapi na wapi?
Yesu alibadilisha maji na kuwa divai (kinywaji) na sio divai (Pombe). Kwanini? Huwezi ukabadilisha maji yakawa pombe kwenye sherehe, halafu watu wote wakanywa mpaka kutosheka halafu hapo hapo tukio hilo limrudishie Mungu utukufu. Unywaji wowote wa pombe vya kutosha huzaa aibu, upotofu na utukufu wa shetani.
Hawataki kufanana na wengine8.Kristu
Ni nomaHizi Phrases nilijua za kutunga, nimepitia zote aisee zinatisha.
Hii sio sawa, ni jambo la hovyo.Nenda kurasini pale baa ipo kanisani .yaani unakaa bar unafuatilia misa.unaacha glad mezani unapeleka sadaka mbele unarudi kuendelea