Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu kunazidi kuchangamka
Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu Ruwai'ch dhidi ya wale waliojitokeza na kusema wanataka kumshtaki Padre Kitima.
Mmoja wa watu hao aliyejitambulisha kwa jina la MacDeo Shilinde akiwa na mwenzake Gerald Abel wamesema wametoa kauli hiyo wakiwa na huzuni kubwa na masikitiko ya dhati na waasiwasi wa kina wa kiimani kufuatia kauli zilizotolewa na Askofu Ruwai'ch Desemba 25, 2025 wakati wa homilia takatifu ya Krisimasi, wadai kauli hizo kwa maoni yao zimevunja misingi ya mafundisho ya kikristo.
Soma Pia Askofu Ruwa'ichi: Kuna lofa mmoja ameandika barua kumshitaki Padri Kitima. Huyo si mkristu, ni kibaraka, msaliti, mnafiki na ndumilakuwili