Baadhi ya waumini waliojitambulisha kama wakatoliki wamemshukia Askofu Ruwai'ch baada ya kauli yake ya 'lofa'

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu kunazidi kuchangamka

Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu Ruwai'ch dhidi ya wale waliojitokeza na kusema wanataka kumshtaki Padre Kitima.

Mmoja wa watu hao aliyejitambulisha kwa jina la MacDeo Shilinde akiwa na mwenzake Gerald Abel wamesema wametoa kauli hiyo wakiwa na huzuni kubwa na masikitiko ya dhati na waasiwasi wa kina wa kiimani kufuatia kauli zilizotolewa na Askofu Ruwai'ch Desemba 25, 2025 wakati wa homilia takatifu ya Krisimasi, wadai kauli hizo kwa maoni yao zimevunja misingi ya mafundisho ya kikristo.
Your browser is not able to display this video.


Soma Pia Askofu Ruwa'ichi: Kuna lofa mmoja ameandika barua kumshitaki Padri Kitima. Huyo si mkristu, ni kibaraka, msaliti, mnafiki na ndumilakuwili
 
Wanapojitambulisha kama Wakatoliki, muwe mnawauliza wanatokea Jimbo lipi la Katoliki, Parokia ipi, na jumuiya ipi! Kinyume na hapo wapuuzwe tu kama wale masheikh ubwabwa na chawa wengine wanaotetea uovu kwa sababu tu ya kuhongwa fedha zinazonuka damu.

NB:- Hakuna muumini mkatoliki asiye na utambulisho.
 
Kabsa mkuu unakuta tunasikiliza pumba za mtu ambaye ameanza kwenda kanisani Disemba hii au wale wa matukio 😃 Utambulisho haujakamilika kabsa
 
Kigango cha lumumba 😂😂
 
Hata kama wana vigezo hivyo vya jumuiya, Parokia etc, , Katoliki wana taratibu zao.
 
Uvccm hao
 
Hivi wanaotusemea wapo ngazi gani hawa.Sijui umoja wa wanaume uzungumza na vyombo vya habari.
 
Huu utawala haramu wa samuya unahangaika kwa kila njia ili uungwe mkono, hapa hawa wajinga LAZIMA kuna noti imeshatembea!

Hapa wameandaliwa kutoa hicho ki press uchwara ili kuthibitisha ile kauli ya samuya siku ile akiongea na wazee wa mchongo eti hata TEC yenyewe wamegawanyika hahahhaaa
Akili ya samuya hiyo D moja tuu form 4!.
 
Askofu Ruwaichi kajivunjia heshima kwa kutamka neno la kihuni kwenye majibu yake. Acha apelekewe moto maana hakuna namna.
 
Hamieni dini ya MALOFA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…