Chumvi yao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,580
- 5,563
Katoliki hatunaga madhabahu we lofa, tuna altareWakuu kunazidi kuchangamka
Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu Ruwai'ch dhidi ya wale waliojitokeza na kusema wanataka kumshtaki Padre Kitima.
Mmoja wa watu hao aliyejitambulisha kwa jina la MacDeo Shilinde akiwa na mwenzake Gerald Abel wamesema wametoa kauli hiyo wakiwa na huzuni kubwa na masikitiko ya dhati na waasiwasi wa kina wa kiimani kufuatia kauli zilizotolewa na Askofu Ruwai'ch Desemba 25, 2025 wakati wa homilia takatifu ya Krisimasi, wadai kauli hizo kwa maoni yao zimevunja misingi ya mafundisho ya kikristo.
View attachment 3521396
Soma Pia Askofu Ruwa'ichi: Kuna lofa mmoja ameandika barua kumshitaki Padri Kitima. Huyo si mkristu, ni kibaraka, msaliti, mnafiki na ndumilakuwili
HAJUI hata kusoma homilia...mkatoliki asili Wala asingesoma hayo makaratasi...nyambafuWakuu kunazidi kuchangamka
Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu Ruwai'ch dhidi ya wale waliojitokeza na kusema wanataka kumshtaki Padre Kitima.
Mmoja wa watu hao aliyejitambulisha kwa jina la MacDeo Shilinde akiwa na mwenzake Gerald Abel wamesema wametoa kauli hiyo wakiwa na huzuni kubwa na masikitiko ya dhati na waasiwasi wa kina wa kiimani kufuatia kauli zilizotolewa na Askofu Ruwai'ch Desemba 25, 2025 wakati wa homilia takatifu ya Krisimasi, wadai kauli hizo kwa maoni yao zimevunja misingi ya mafundisho ya kikristo.
View attachment 3521396
Soma Pia Askofu Ruwa'ichi: Kuna lofa mmoja ameandika barua kumshitaki Padri Kitima. Huyo si mkristu, ni kibaraka, msaliti, mnafiki na ndumilakuwili
Wakuu kunazidi kuchangamka

Askofu Ruwaichi kajivunjia heshima kwa kutamka neno la kihuni kwenye majibu yake. Acha apelekewe moto maana hakuna namna.
Tafsiri halisi ya "Kondoo wa Bwana"mkatoliki aliyekulia kanisani akapata ubatizo, ekarist ya kwanza, kipaimara na kutoa zaka hawezi kujibizana hata na flateri achilia mbali Padre 😃
Wanapojitambulisha kama Wakatoliki, muwe mnawauliza wanatokea Jimbo lipi la Katoliki, Parokia ipi, na jumuiya ipi! Kinyume na hapo wapuuzwe tu kama wale masheikh ubwabwa na chawa wengine wanaotetea uovu kwa sababu tu ya kuhongwa fedha zinazonuka damu.
NB:- Hakuna muumini mkatoliki asiye na utambulisho.
😂😂 hizo zote mbinu za Chama kutoa watu mchezoni ! Ila zamu hii mmeyatimba raia yaan hawasahau ! Mnaoelewa mchezo wa Chess sijui hapa tuko stage gani yan Raia vs Serikali 😂
Yaan kila wakijaribu kujichekecha , raia wako nao live ! Hapa karata iliyobaki ni Mei Mosi 😂
Hakuna wa kumpelekea moto hapo wapumbavu tu hao na watapuuzwa kama wapuuzi wengine mlivyopuuzwa.Askofu Ruwaichi kajivunjia heshima kwa kutamka neno la kihuni kwenye majibu yake. Acha apelekewe moto maana hakuna namna.
Haimanishi sio mkatolikiKabsa mkuu unakuta tunasikiliza pumba za mtu ambaye ameanza kwenda kanisani Disemba hii au wale wa matukio 😃 Utambulisho haujakamilika kabsa
Tafsiri halisi ya "Kondoo wa Bwana"
Ndio maana wadhaifu sana kwenye shuruba
Kuna hii barua ya mtawa huko India alimwandikia Papal Nuncio kuhusu manyanyaso ya kingono walivyokuwa wanafanyiwa na Padri Franco.Haimanishi sio mkatoliki