Baadhi ya waumini waliojitambulisha kama wakatoliki wamemshukia Askofu Ruwai'ch baada ya kauli yake ya 'lofa'

Mkatoliki safi aliebatizwa hawezi kuropoka hovyo hovyo
Kweli zamani Mimi nilikuwa nahisi Ile tone ya mapadri ni ya kimbingu. Sasa imagine mtu anayeungamisha watu dhambi anaita waumini wake "LOFA"
 
HUYU SIO MKATOLIKI ANASHINDWA KUTAMKA NENO HOMILIA YEYE ANASEMA HOMA LIA,ANASHINDWA KUMJUA PAROKO WAKE
 
Sema waandishi wa habari pia ni malofa, yaani mpuuzi yeyote anaweza waita na akaweka press na wenyewe wanakuja kama wendawazimu.
Hao waandishi kulipia gharama za maisha yao wakisema waache kazi wanayofanya?
 
Hawa ni Malofa tu.Wapuuzwe.Watakuwa wametumwa
 
T Tofautisha mtawa na muumini... Waamini wasio na Jumiya ni wengi mno so kutokua na jumuiya haimaanishi wewe si mkatoliki

By the way ni uhuru wao pia wana haki ya kufanya hivyo kama ilivyo haki kwa TEC na wengine. TUVUMILIANE TU
 
Kigango cha lumumba 😂😂
Kigango cha msimbazi 🤣🤣🤣.
Kwanza utambulisho kama wa kwenye zile debate za form 1 & 2.
Wahuni tupu.Iwekwe sheria watu kama hawa wakamatwe kwa kuchafua sura ya dini/imani za watu.
 
Hawa wanadhani waKatoriki inafanyakazi kama Bakwata. Hawajui hata utaratibu wa Wakatoriki ukoje. Malofa sababu wametumwa kwa kumezeshwa bila tafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…