Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Alipata kusema hayati JPM.. Sasa inaonekana wazi kuongoza nchi kwa kuwapapasa papasa watu ni ngumu sana kufanikiwa! Kalemani alikaribia kumaliza tatizo la umeme! Kama ilivyo kawaida ya siasa tunaongoza kwa kujuana ! Akatumbuliwa bila kashfa yoyote!
Akaja anaejiita msomi na rais ajaye na kalamu nyiiiiingi na makaratasi... akabadili mfumo wote na mambo yakaanza kwa porojo nyingi vitendo na matokeo mpaka Leo hakuna! Nchi hii aliyejuu anataka watu wapole wapole ukifoka kidogo kesho haumo! Nyama ngumu hailiwi na kibogoyo.. tuteulieni vichaa, waje waongoze vichaaa wenzaoo.