SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Duh aisee hii post mbona matusi matusi, why, kwa nini?
Natamani Mods waje waifute sasa hivi.
Kitendo cha mods kufungia macho baadhi ya nyuzi kama hizi ndo kinachoifanya JF kushuka hadhi kabisa.