Baba abaka mwanaye wa umri wa miaka 11 mkoani Manyara

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamtafuta mkazi wa Kata ya Magugu wilayani Babati, Frednand Yohana ambaye anatuhumiwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 11.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Benjamin Kuzaga ameyasema hayo leo Jumatatu Desemba 13, 2021 mjini Babati wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Kamanda Kuzaga amesema mkazi huyo wa Magugu alikuwa anambaka mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 11 (jina lake linahifadhiwa) usiku wakati mke wake na watoto wengine wakiwa wamelala.

Amesema tukio hilo limefanyika kwa vipindi tofauti na lilibainika Desemba 6 mwaka huu baada ya mkewe kutoa taarifa Kituo cha Polisi Magugu.

Amesema taarifa za tukio hilo zimetolewa na mke wake, Justina Emmanuel ambapo mtoto huyo alikuwa anafanyiwa vitendo hivyo tangu mwezi Oktoba mwaka huu.

"Walikuwa wanaishi kwenye chumba kimoja mume, mke na watoto wao watatu na uchunguzi umeonyesha Yohana amembaka mtoto wake zaidi ya mara nne," amesema Kamanda Kuziga.

Amesema mtuhumiwa alitoroka baada ya mkewe kubaini kitendo hicho na polisi wanamtafuta ili afikishwe mahakamani.

images (6).jpeg
 
Hua najiuliza sana na majibu sipati inasimama vipi?? Mbona naona ni kitu hakiwezekani,ni jambo la kawaida mwanaume kusimamisha anapoona sehemu za siri za mwanamke ,lakini kama mwanamke huyo wewe unamwita mama, dada,mwanao kamwe haisimami.
 
Boss, hao watu huitwa phycho,ni wagonjwa wa akili.kuna mwaka fulani huko ulaya jamaa alikua na msichana lakini anasaidiwa na huyo msichana wake kubaka vitoto
 
Binadamu kiasili ni mnyama.
Kuna baadhi yetu wamebeba tabia zote za wanyama.
Kubaka watoto, kuua kwa sababu yoyote ile ni roho za kinyama ambazo baadhi yetu wamezibeba.
Katika hili la kubaka hata wanyama kuna wakati wanakuwa na staha
 
Kwakweli tunatembea barabarani tunafanana lakini akili hazifanani, binadamu wengine wanakuona kama kitoweo. Unapishana na mnyama mwitu bila kujua
 
Boss, hao watu huitwa phycho,ni wagonjwa wa akili.kuna mwaka fulani huko ulaya jamaa alikua na msichana lakini anasaidiwa na huyo msichana wake kubaka vitoto
Hata mimi mwenyewe nakubaliana na wewe, inawezekana hawa watu hawajakaa fresh kiakili. Kwa sababu haiingii akilini mzee mtoto wako wa kike, na wewe mzazi badala ya kuwa mlinzi wake wewe ndiyo unakuwa threat.
Hawa watu wapo sana na huwa naamini kabisa kuna kitu hakipo sawa kwenye maisha yao. Nakumbuka nilisoma story ya jamaa mmoja anaitwa Jeffrey Dahmer, huyu mwamba story yake unaweza usiamini. Niliingia mpaka Youtube nikasikiliza mahojiano yake ndiyo nikasema kweli watu psycho wapo na tunaishi nao bila kujua.
 
Binadamu kiasili ni mnyama.
Kuna baadhi yetu wamebeba tabia zote za wanyama.
Kubaka watoto, kuua kwa sababu yoyote ile ni roho za kinyama ambazo baadhi yetu wamezibeba.
Katika hili la kubaka hata wanyama kuna wakati wanakuwa na staha
Umeanza vizuri sana, lakini mwishoni hapa umeteleza kidogo. Pamoja na kuwa mnyama amezidiwa sana akili na binadamu, lakini kamwe hawezi kumwingilia mnyama ambaye hajafikia umri wa kuingiliwa. Sasa hapa sijuwi tusemeje; au yawezekana tuko species mbili tofauti za binadamu: ya kwanza ndio hii ambayo tupo wengi, na ya pili ni hii ya hawa wanaobaka, wanabaka hadi watoto wao. Hawa inaonekana hata ubongo wao unazidiwa hata na wanyama kwa kufikiri, maana haiwezekani mnyama amjuwe mnyama mwenzake kuwa hajafikia umri wa kujamiiana, akamuacha, lakini binadamu anajamiiana na mtoto, tena wa kumzaa mwenyewe. Hii ni zaidi ya wanyama!
 
Hata mimi mwenyewe nakubaliana na wewe, inawezekana hawa watu hawajakaa fresh kiakili. Kwa sababu haiingii akilini mzee mtoto wako wa kike, na wewe mzazi badala ya kuwa mlinzi wake wewe ndiyo unakuwa threat.
Hawa watu wapo sana na huwa naamini kabisa kuna kitu hakipo sawa kwenye maisha yao. Nakumbuka nilisoma story ya jamaa mmoja anaitwa Jeffrey Dahmer, huyu mwamba story yake unaweza usiamini. Niliingia mpaka Youtube nikasikiliza mahojiano yake ndiyo nikasema kweli watu psycho wapo na tunaishi nao bila kujua.
😖😖😖 kwanini umenikumbusha huyo mtu. The first time I read his story I was traumatized. Naogopa lakini I'm too curious like how mtu anakuwa hivi?? Jamaa handsome huwezi kudhania anaua na kula na kulala na maiti!! Hadi nikaenda kuangalia documentary yake na serial killers wengine.

Me I concluded kuna watu tu hawako sawa kichwani and they don't deserve to be part of our society, wapotezwe kabisa kwenye uso wa dunia kwa usalama wetu na watoto wetu. They're just mistakes produced by nature.
 
Nimemkumbuka Dahmer kwa sababu jamaa alikuwa pedophile pia. Huyu mwamba ni balaa kabisa. Yaani yeye mwenyewe alikuwa haelewi afanyaje maana anasema angeachiwa huru angeendeleza mambo yake. Huyu nina uhakika pia alikuwa psychopath maana mpaka maaskari wamekuja kumhoji, baada ya kusikia malalamiko ya majirani kuhusiana na kijana mdogo aliyekuwa anazunguka mtaani naked na alikuwa akitokwa damu, jamaa akawakaribisha ndani na hakuwa mwoga hata kidogo. Alijiamini kabisa kama raia wa kawaida na hata mwonekano wake ulikuwa unaaminisha kwamba ni mtu innocent kabisa, ingawa alikuwa mtu wa kutisha.
 
Back
Top Bottom