Mimi Ni Mtu Wa Mungu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 679
- 1,295
Mfumo ni ule ule kama ilivyoandikwa Mke amuheshimu Mumewe na Mme ampende Mkewe.
Basi hili andiko linawahusu na watoto pia 'BABA AHESHIMIWE MAMA APENDWE' hili ni jukumu la wazazi kulitimiza.
Ukimpenda Mkeo na watoto watakua wanaona na kukuheshimu maisha yako yote.
Ukimheshimu Mumeo na watoto watakua wanaona watakupenda maisha yako yote.
Ndoa ijengwe kwenye msingi wa UPENDO NA HESHIMA
Adui wa UPENDO NA HESHIMA ni USALITI tuongozwe na UAMINIFU katika kila jambo.
Asante namalila aho