Baba ake Ommy Dimpoz alalamika kutengwa na mwanae

Fainali uzeeni
 
Kwa dalili hizo tu unapata majibu pengne mama Omary na baba omary awakai pamoja na pengn baba alimpa mama mimba mama akaenda kujifngulia huko sababu sidhni kama mama na baba wangekua wanaishi pmj kama kunaweza kuwepo na malalamiko hya
 
Kwanza angetupa historia fupi ya maisha yake na mwanae ndio laabda ningemsikiliza vinginevyo apambane na hali yake, hawa wazee kwa kuigana ati asinizike wote hao hao
 
Hawa wazee bana yani umtelekeze mwanao,alelewe kwa shida we uko kwa Macheni unatanua na vishtobe wako huna hata habar kma mwanao hata kula anakula,then leo amekua ana vijisenti we ndo unajitokeza kutoa lana ili usaidiwe.....Useingerema huu!!
 
inaoneka una usongo wa mawazo sana hebu kunywa maji kwanza alfu uje tena hapa jukwaani kutema pumba zako
 
inaoneka una usongo wa mawazo sana hebu kunywa maji kwanza alfu uje tena hapa jukwaani kutema pumba zako
Pumba gani sasa, na wewe unasapoti huyo dingi tozi tu huyo amevaa "kacha" mikononi akae kulelewa na Ommy Dimpoz?!, Mtu bado ana nguvu kabisa za kupiga kazi akae kulalamikia wanawe wamsaidie?! Na wewe unasapoti?! Dingi anaongea na simu kwa pozi ukute anaongea na kimada tu hapo.
 
Hawa wazee bana yani umtelekeze mwanao,alelewe kwa shida we uko kwa Macheni unatanua na vishtobe wako huna hata habar kma mwanao hata kula anakula,then leo amekua ana vijisenti we ndo unajitokeza kutoa lana ili usaidiwe.....Useingerema huu!!
Nawashangaa sana wanaosapoti ujinga huu, sisi kwetu ilikuwa tukipata mazao mengi toka shambani, dingi anauza anaongeza mke, kuna wapuuzi wanasema dingi kama huyo niumize kichwa kumsaidia, kina nina ziada nitampa, ila siwezi kumuweka kwenye bajeti zangu, maisha yeye kachezea, aniache mimi nipambane kivyangu.
 
hakuna kitu kinaitwa laana.
Nashangaa great thinker unawaza low hv
Kama laana haipo basi Yesu alikufa msalabani bure!! Unajua Yusufu alifikaje Misri? Aliuzwa kama mtumwa! Unajua kwanini Wana wa Israel wakawa watumwa? Utaona huo uzi wa hiyo laana ya utumwa kutoka kwa baba yao Yusuf! Unajua Mungu alilaani ardhi baada ya dhambi ya Adamu na Eva? Unajua aina za laana? Unajua nguvu ya damu ya Yesu inavyofanya kazi against hizo laana? Kumtelekeza mzazi wako kwasababu yoyote ile ni kulipiza kisasi, kutosamehe, pia ni kuvunja moja wapo ya amri ya Mungu ya kuwaheshimu Baba na Mama. Baba yako atahukumiwa kwa matendo yake dhidi yako lakini na wewe utahukumiwa kwa matendo yako. Ukitubu vyote lakini usipotubu hili utakufa na hii dhambi! TUSIDANGANYANE! Usimtelekeze mzazi wako ....lipa wema kwa ubaya! Kama hii habari ni kweli ...Ommy amuombe radhi mzee then amsaidie kama mzazi ...simple

Tumsifu Yesu Kristo ...
 
niwaase wana JF wenzangu, kamwe usijenge maisha ili uje kumtegemea mwanao, unachopanda ndicho unachivuna. Ukimlalamikia mwanao jiulize wewe ulimsaidia nini baba yako. Tuwaache watoto wajenge maisha yao.
Wazee wanatukandamiza Sana aisee, ndiyo maana vijana tunaona maisha magumu kumbe no faults za wazee. "Poor economics" kumsomesha mtoto ili alipe fadhira,
 
wakati Yuko mdogo akamuona kilaza leo anajiza pumbavu
 
Mimi ninatakiwa nimjengee yeye. Kama nitashindwa kujenga basi nimboreshee yeye.
Hiyo c
Mimi ninatakiwa nimjengee yeye. Kama nitashindwa kujenga basi nimboreshee yeye.
Hiyo chain siielewi, wewe mtoto umboreshee mzazi, na yeye mzazi amboreshee nani, si mzazi wake na yeye au?, je amemboreshea mzazi wake au anadai tu yeye ilhali yeye hajamboreshea mzazi wake?
 
Only in Africa...your parent becomes your child..na hapo unakuta mzazi hakuhangaika Hata kumsomesha huenda Hata alimtelekeza..
Afrika kuna mambo ya kipuuzi sana ndugu yangu, mtu anazaa mtoto ili yeye mzazi alelewe na huyo mtoto cc Beef Lasagna.
 
Tatizo la kina baba waliowengi hutelekeza watoto wao na kujilita ktk kulea watoto wa wapenzi wao (nyumba ndogo) kesho maji yakiwaacha huanza kutoa lawama kwa wale ambao wala hakuwapa msaada kipindi cha neema yake. Mbona ommy wakati anatelekezwa hakupiga kelele mwambie apambane na hali yake lawama za nini
 
Mzee hajui kma mwanaume anasafiri kupakatwa,atulie mana atakula hela haramu ya ommy kubanduliwa
 
mzee anachapa mihogo......kijana inasemekana anapakuliwa emirates......dah wanaume wanaume....
 
Tutumie UJANA wetu VIZURI KWENYE KUTAFUTA,, .... tusiwape lawama WATOTO wetu KSHO...
 

nilishamskia ommy dimpoz kwenye interview alisema baba yake alishatangulia mbele ya haki,sasa hii story sijaielewa au baba yake mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…