Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Mzee anataka chips mayai chakula cha matajiriMihogo na kachumbari umeona chakula cha kimaskini sio?
niwaase wana JF wenzangu, kamwe usijenge maisha ili uje kumtegemea mwanao, unachopanda ndicho unachivuna. Ukimlalamikia mwanao jiulize wewe ulimsaidia nini baba yako. Tuwaache watoto wajenge maisha yao.
Iko hivyo lakini unatakiwa kujiongeza,kuna baraka gani katika maisha yako kama huwajali au kuwatunza..Watoto wa kiume wengi mapenzi yao kwa mama tu...
Hata cwez kumlaum Ommy kwa anachokifanya
Kwasababu watu wengi huamin baba anauwezo wa kujikim mahitaji yake mwenyewe bila kupatiwa Msaada
Umenena vyema, mzazi anayetambua wajibu wake kamwe huwezi msikie akilalamika kutaka kutunzwa na wanawe, tena atajisikia aibu kwa nini hajaanda mali na urithi kwa wanawe, ukiona mzazi anataka kutunzwa na wanawe wakati lijitu lizima lina nguvu na kitambi linakula tu mihogo fahamu huyo ni mpuuzi na hajachangia hata kwa vyovyote kwenye maisha ya mwanae, mtu kama Dimpoz kapambana mwenyewe from zero, hakuna sapoti ya mzazi wala nini....
Leo lijitu linataka kutunzwa, pumbavu..
Acha tu. Utamaduni wa ajabu sana huuAfrika kuna mambo ya kipuuzi sana ndugu yangu, mtu anazaa mtoto ili yeye mzazi alelewe na huyo mtoto cc Beef Lasagna.
Na vise vesa ni hivyohivyo,kuna madingi wengne hadi unatamani angemwaga nje ili usizaliwe kwa mateso unayopitia ukiwa mdogo,,sasa una hastle kivyako unatoboa halafu analeta kitambi chake kukulaumu,Alitakiwa ajue kumwaga ndani,ajue kutoa hela ya matunzo kama kawaida hata kama wamekosana na mke wake,tena siyo kutoa kwa kulazimishwa au kulambwa miguu..pumbavu zake huyo mzee..Upumbavu na ulimbukeni wa sisi vijana, hivi mapenzi tunayopewa na wazazi wetu, malezi tunayopewa nao wakati wa makuzi yetu, tunashindwaje kuwatunza uzeeni? tena mtu unapata hadi hela za kwenda kuona mechi ulaya unashindwaje kumfanya baba yako afeel proud kukuzaa. ujinga huu ndo unafanya hadi wazazi watamani wangemwagia nje siku natafutwa...
Ndiyo mkuu, alikuwa anatimiza majukumu yake.. Sitakiwi kumlipa wala kumrudishia.Je kama mzazi ameuza mali zake kwa ajili ya elimu yako ambayo baadae imekupa kazi nzuri na maisha mazuri je baba anatakiwa aendelee kupambana na hali yake....!! ??
Na wao wazazi wanatakiwa kujiongeza, kuna baraka gani katika maisha yao kama hawakunijengea msingi mzuri wa maisha? Nahangaika tu na bahasha mkononi kazi hakuna, hata pa kulala sina, nimeamua kujitafutia maisha kupitia mziki wa kizazi kipya na yeye anatokeza na kitambi chake anataka nimjali, baraka gani hizo?!Iko hivyo lakini unatakiwa kujiongeza,kuna baraka gani katika maisha yako kama huwajali au kuwatunza..
Ila Palsa acheni kukimbia majukum. Huu ni ukweli mtupu sababu huwez jua kipindi cha malezi yako ilikuaje.Only in Africa...your parent becomes your child..na hapo unakuta mzazi hakuhangaika Hata kumsomesha huenda Hata alimtelekeza..
Hahahahahaha!Mbona anatudhalilisha wala mihogo wengine? Kwanza sio kushindia mihogo, ni kula mihogo, kama una matatizo na mwanao deal nayo mwenyewe achana na mihogo yetu. We mzee vipi?
Watoto wa kiume wengi mapenzi yao kwa mama tu...
Hata cwez kumlaum Ommy kwa anachokifanya
Kwasababu watu wengi huamin baba anauwezo wa kujikim mahitaji yake mwenyewe bila kupatiwa Msaada
Haipaswi Kuwa hivyo kamwe...na ndio maana umasikini hauishi!Ila Palsa acheni kukimbia majukum. Huu ni ukweli mtupu sababu huwez jua kipindi cha malezi yako ilikuaje.
Ni wajibu wa mtoto kuangalia wazazi na vile vile ni wajibu kwa wazazi kuangalia watoto. Ndipo utofauti wa Binadam na wanyama unapokuja.