Themanininamoja
Member
- May 14, 2019
- 42
- 87
ha ha haaa yerrraIdara nyeti au sio!!?
nawaogopa wenye kazi yaoHadi hiyo kazi unaogopa kuitaja
Baba bwana kwa vile ni mtu wa dini, akasema HAPANA kazi hii ni HARAMU na haifai mwanangu utakwenda kuungua kesho kwa Mungu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Baba yako ana busara sana. Kazi za kupelekea watu wengine umbeya za nini?
HII NAHISI NI BIASHARA HARAMU...MBONA HUITAJISiwezi kumlaumu sana, naheshimu mawazo yake mzee wangu.
Lakini nikiwa kama kijana na ndoto zangu nimejikuta leo nikikumbuka jinsi ambavyo ningekuwa naishi katika ndoto zangu na hata kumsaidia yeye mwenyewe.
Ilikuwa hivi;-
Baada ya kupata nafasi ile kutoka kwa mkubwa wa kitengo kile wa wakati ule, kila kitu kilikamilika na hatimaye walinipa muda wa kusubiri kunijua vizuri na familia yangu. Nafikiri walikamilisha hilo kwa muda wao wenyewe, mwisho wa siku ilikuwa ni kwenda kumfahamisha mzazi mmoja ambaye ni baba yangu mzazi
Baba bwana kwa vile ni mtu wa dini, akasema HAPANA kazi hii ni HARAMU na haifai mwanangu utakwenda kuungua kesho kwa Mungu.
Aloo daaah niliumia sana sana sana,,, Baba yangu nakupenda sana huenda umeniepusha na jambo.
Najua uzi huu hautauona lakini Naomba unisamehe sana mzee wangu (kiongozi wa dini) pale kijijini kwetu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]We jamaa upo.Mzee wa numero unoHII NAHISI NI BIASHARA HARAMU...MBONA HUITAJI
NIPO MKUU AISEE[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]We jamaa upo.Mzee wa numero uno
Japo hujataja iyo kazi lakini inaonekana ni kazi haina heshima, yani ili wakuajiri lazima wamjue mzazi wako [emoji849]
Hiz ndio zile kazi designe ugongewe muhuri wa mwenyekiti sijui wa mtaa sijui kijiji, Upumbavu mtupu mata njoo na barua ya utambulisho [emoji57]
Au mnasemaje mods wa JF