Baba Ameniibia ada aliyonipa!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahahahah, jamani nimecheka kwa sauti kubwa
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Mecheka mbaaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani mzee yeye alishamaliza shule.....!
 
mzee alikuwa anakulia timing tuu. Hahaaaa
 
Baba aliyekupa ada akuibie???? hainiingii kichwani. hebu chunguza kwanza isije ikawa kuwa kimtu kilifanya timing na kuchukuwa hiyo pesa. Kumhukumu baba yako mwizi kabla hujathibitisha ni laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…