Baba ameshafika

Dady is coming soon

Huu ubuyu umenipita sababu ya notification sikuiona daaah

Watu na baba zao,ukiimba tu seya tutoke woteee seyaa seyaaa munatoka siku hio hio
 
Dady is coming soon

Huu ubuyu umenipita sababu ya notification sikuiona daaah

Watu na baba zao,ukiimba tu seya tutoke woteee seyaa seyaaa munatoka siku hio hio
Acha kabisa ila yawezekana bi mashauzi akatoka kimya kimya hivi?au ndo masharti ya baba?
 
Weee ile kutoka tu itakua aliwekewa wimbo wa ndanda kosovo wajela jela orijino,sharti kujiweka off mpaka kifungo kiishe muchezo

Ila kama ni kweli inamaana majizo atakua nyumba ndogo au kubwa?
Acha kabisa ila yawezekana bi mashauzi akatoka kimya kimya hivi?au ndo masharti ya baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…