Baba ameshafika

Baba ameshafika

Weee ile kutoka tu itakua aliwekewa wimbo wa ndanda kosovo wajela jela orijino,sharti kujiweka off mpaka kifungo kiishe muchezo

Ila kama ni kweli inamaana majizo atakua nyumba ndogo au kubwa?
Ahahaha eti nyumba ndogo au kubwa
 
Dady is coming soon

Huu ubuyu umenipita sababu ya notification sikuiona daaah

Watu na baba zao,ukiimba tu seya tutoke woteee seyaa seyaaa munatoka siku hio hio
Na kweli aisee
 
Toto tundu aliyeacha ganda la ndizi mpaka mtu kuteleza kwa utundu... Ikapeleka kufungiwa asicheze na wenzake, karuhusiwa kwa masharti ya kucheza sebuleni tu endapo mgeni akibisha hodi anajifungia tena chumbani...

Cc: mahondaw
 
didn't get you sir, more clarification please..

Smart911
 
Code zenyewe rahisi namna hii.Bora mngekuja na zile za idarani.
 
Back
Top Bottom