Baba : Anyigulile chukua hivi vitabu viwili vizito mno ,cha duniani (katiba ya Tanzania) na cha mbinguni

Baba : Anyigulile chukua hivi vitabu viwili vizito mno ,cha duniani (katiba ya Tanzania) na cha mbinguni

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559
Baba : Mwanangu muabudu Mwenyezi Mungu na uzitii mamlaka juu yako ,serikali ,mahakama na bunge.

Anyigulile (Mimi) :Nimekusikia baba yangu kipenzi ,nitayaishi mawaidha yako.

Baba : Mwanangu litii sana dola la nchi kwani katika ardhi (Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania) linapotawala ndiko zinapopatikana nyumba za ibada za kwenda salama mbinguni ,umeona dola lilivyo na nguvu....yaani kupitia utulivu na amani juu ya ardhi ndipo ibada zako zinakamilika humo katika nyumba za ibada.

Anyigulile(Mimi): Baba yangu nimekuelewa ,sitolisaliti dola langu kwa namna yoyote iwayo ,nitawatii viongozi wa dola ili tu nipate utulivu wa kufanya ibada zangu na nikifa niende katika ufalme wa mbingu.

Baba : Umenielewa vyema Mwanangu na usiache KUWASIMULIA na KUWAUSIA wajukuu zangu na haya nao wawafundishe watoto na wajukuu zao mpaka pale mwana wa adamu atakapokuja kutunyakua .

Anyigulile (Mimi): BWANA akubariki sana baba yangu ,aaamin aaaamin [emoji7]

SHALOM MARANATHA[emoji7][emoji7]

#Yetzerhatov[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg

20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg
20240908_151114.jpg
 
Mkuu vipi ?!!

Kwanini unashindwa kuweka bandiko lako ulitakalo ?!!

Kijana mwenzangu unechelewa kubalehe ?!!!

Jionee aibu nafsi yako....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwanini unakerwa na maoni yangu kwa njia ya picha? Unahusika na mauaji hayo? Na bado, kama unakerwa ndiyo nitazijaza mpk page 5
 
Back
Top Bottom