Baba : Anyigulile chukua hivi vitabu viwili vizito mno ,cha duniani (katiba ya Tanzania) na cha mbinguni

Umasikini mbaya sana
Katika kulisimamisha na kulilinda taifa baba wa taifa El Commandante JKN alituasa juu ya maadui wakuu 3;
-Ujinga
-Umaskini
-Maradhi.

Umaskini ni matokeo ya ujinga kama nilivyotanabahisha katika bandiko langu....

KUTOLIHESHIMU TAIFA NI PAMOJA NA KUTOWATHAMINI NA KUWAJALI VIONGOZI WAKE....

#Uwe na usiku mwema ,amin[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…