yaani kwasababu ya huyo eti mnamuita askofu wakati ni kibaka wa kidini ndio wa kutesa mtu kweli gentleman?π€£π πππ€£ππ€ͺπ€ͺMkuu Pole
Unatesekea Ukiwa Wapi
Omba Maji Unywe Upooze Koo
Yes,Kanisa lake linajaa sana
Sio kumrudisha shule. Huyo zombie hajawahi kwenda shule. Labda madrasa!Wakat nipo form 3 kuna Ile point ya role played by African church unadhan role Yao ilikuwa nn wakat wa kudai uhuru?
Viongoz wa din hasa akina mshume kiyate sheikh takadir na wengineo ndio walioanzisha chama vya siasa kama AA TAA TANU
Sasa nashangaa nyakat hiz mnasahau na manataka kuwatenga katika mapambana yakisiasa
Anyway nimekurudisha shule kidogo maana huko chama chakavu mnaish kwa kukariri TU
Yes,
wafuasi wake si mamluki wafuata mkumbo wa chadema gentleman, au?π
huenda ni wafuata mkumbo,π hata ccm wapo wanasali kwake
Ila Malkia wako Doctorate yake ndio ipo mahali sahihi kabisa, sio! kalaghabao.kwamba huyo askofu kibaka ndio PhD holder?π€£
acheni udhalilishaji nonsense wa PhD bana, plz plz ndugu wafuata mkumbo
hakuna askofu chokoraa kama huyo mwanasiasa useless gentlemanIla Malkia wako Doctorate yake ndio ipo mahali sahihi kabisa, sio! kalaghabao.
Chizi karogwa tenahakuna askofu chokoraa kama huyo mwanasiasa useless gentleman
huenda ni wafuata mkumbo,
nadhani unafahamu kwamba kwenye kundi la mamba kenge wachache hawakosekani