Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hayangoja tutauzima usifurahi sana
Sheikh Mbukuzi na mauaji ya mwembechai yalifanyika utawala gani? Sio wa Ben? Huyu askofu nilikuwa namuheshimu sana lkn sasa nishamuona sawa na waleAkizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana kumbukumbu kuhusu enzi za Mwl. Nyerere, bali aliheshimu sana viongozi wa dini .
Askofu Emmaus Mwamakula amesema kwamba; si kwamba kwenye tawala hizo hakukuwa na matamko au waraka wa viongozi wa dini, bali viongozi wa wakati ule walitumia matamko hayo na kuyafanyia kazi badala ya kuwakamata, kuwavua Uraia ama hata kuwafunga viongozi wa dini.
Toa maoni yako.
Malaria kwani Mauaji ya Mwembechai yalitokana na Waraka ?Sheikh Mbukuzi na mauaji ya mwembechai yalifanyika utawala gani? Sio wa Ben? Huyu askofu nilikuwa namuheshimu sana lkn sasa nishamuona sawa na wale
NdioMalaria kwani Mauaji ya Mwembechai yalitokana na Waraka ?
Nakula kutoka wapi ? hata hivyo mimi siyo Mwaipayasawa bwana twaha mwaipaya ...unakula neema ya nchi tu😁
Rais wa mwisho alikuwa mkapa japo naye aliiba, hawa waliofuatua hakuna mwenye sifa za urais na mazingira tu yaliwafanya wawe maraisAkizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana kumbukumbu kuhusu enzi za Mwl. Nyerere, bali aliheshimu sana viongozi wa dini .
Askofu Emmaus Mwamakula amesema kwamba; si kwamba kwenye tawala hizo hakukuwa na matamko au waraka wa viongozi wa dini, bali viongozi wa wakati ule walitumia matamko hayo na kuyafanyia kazi badala ya kuwakamata, kuwavua Uraia ama hata kuwafunga viongozi wa dini.
Toa maoni yako.
Hizi ni awamu za hovyo kabisaAwamu ya 5 na 6 hawakuwa na huruma na utumishi wa umma mda wote waliinyesha mabavu bila kuogopa.
Kwa hiyo awem ya maana ni ile ya kikwete .kama ndo hivyo inatofaut gan na hii y 6Hizi ni awamu za hovyo kabisa
Hakuna maendeleo bila hakiBado naona kuna tatizo kubwa la udini, ukabila, ukanda na migawanyiko itokanayo na mirengo ya kisiasa hapa Tz. Badala ya kuhangaikia maendeleo mtambuka ya nchi yetu sisi tumeng'ang'ana na mambo ya kishenzi yasiyokuwa na maana yoyote ktk nchi, hovyo kabisa.
Ni kweli usemacho, lakini hatuwezi kuandamana au kuanzisha harakati za kudai Haki ya kuweza Kubaguana kwa misingi ya Dini, Ukabila au Ukanda. Hii haikubaliki kamwe!Hakuna maendeleo bila haki
Waraka na maoni au msimamo, ule ulikuwa waraka, na Ben Mkapa aliuwa watubtena msikitini, na hatukusikia waraka ukitoka Bakwata, Makanisani na wala baadhi ya vyama vya upinzani. Mwamaluka ameghafilikaMalaria kwani Mauaji ya Mwembechai yalitokana na Waraka ?