Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Arusha CHADEMA ali maarufu baba bonny awaasa wale wote walio kimbilia CHAUMMA waondoke wakiache chama cha mzee Hashim Rungwe
Yule katibu yeye akaamua kuhamia CHADEMA, sasa Rungwe ni mtu wa Kigoma mbishi sana lakini safari hii atatulia tu, lazima aachie chama, ngoja tuone!Wameshaanza kumdhuru mzee wa watu mpk kupelekea kulazwa hospitali. Mrema na Kigaila siyo watu wazuri