Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Arusha CHADEMA ali maarufu baba bonny awaasa wale wote walio kimbilia CHAUMMA waondoke wakiache chama cha mzee Hashim Rungwe
Yule katibu yeye akaamua kuhamia CHADEMA, sasa Rungwe ni mtu wa Kigoma mbishi sana lakini safari hii atatulia tu, lazima aachie chama, ngoja tuone!
Na kile chama kilikuwa platform yake ya kuuzia sura uchaguzi mkuu, lazima presha ipande! Inasemekana mzew Rungwe ni tajiri kitambo sana, shida kubwa ilikuwa siyo pesa bali kuuza sura kwa kugombea urais.