Baba Chaula: Nimepigiwa simu na namba ngeni, kaniambia nitoe Tsh. Milioni 3 ili Chaula apatikane

Wale wanaotuhumu watu walione hili ...

Mijangili inataka "ransom".....

Kweli alijisemea spika Dr.Tulia.....
 
Kama ni kweli hili see linaua mtoto wake lenyewe?
 
exactly, umefikiri kweli kabisa. Kijana yuko na polisi!
 
Sasa kama watekaji wako humu,si tayari wesha jua kua mzee kesha peleka taarifa za milioni 3 police!? Kuna vitu vingine si vya kutangaza haraka haraka kabla ya uchunguzi wa kina!!
Huku kuwaogopa kwenu polisi ndipo kunawapa nafasi ya kufanya haya zaidi.acha waanikwe ili tuone UNAFIKI WA POLISI.wakiambiwa wanahusika wana kataa.sasa wana anikwa
 
Hao watekaji mbona wamekaa muda mrefu bila kudai chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…