Baba Diamond aomba collabo na wanae

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
Mzee Abdul ambae ni baba mzazi wa Diamond na Queen Darlin baada ya kuachia ngoma ambayo kaipa jina la dudu la yuyu amesema wimbo huo kwa sasa unatrend sana na imepokewa vyema na mashabiki pamoja na wanae.

Amesema kwa sasa hana mpango wa kutoa hit song labda mpaka Diamond au Darlin watakapomuomba collabo.
 
Diamond amsaidie babaake kumpeleka Milembe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mambo ni mengi kweli halafu muda mchache.... Last year kajaribu sana kumchafua Mondi (kupitia global publishers) Mungu bariki Naseeb akajaaliwa hekima ya kukaa kimya... Hii ilisaidia sana kuliua hili jambo.... Sasa anataka COLABO... Dunia simama nishuke

Jr[emoji769]
 
Mbona hakuna wimbo wenye jina ilo mkuu,au unaongelea mwewe ambao mzee kashirikishwa mwshoni aweke vionjo

Sent using Brain
 
Mbona ule wimbo kasema yeye kashirikishwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…