Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Hivi tokea mimba imeingia mpaka amefika form one huyo Diamond alikuwa analelewa na baba gani?Diamond anachopaswa kujua baba yake ni huyo mzee na yeye haruhusiwi kumuadhibu isipokuwa Mungu wake tu...
 
Hivi tokea mimba imeingia mpaka amefika form one huyo Diamond alikuwa analelewa na baba gani?Diamond anachopaswa kujua baba yake ni huyo mzee na yeye haruhusiwi kumuadhibu idipokuwa Mungu wake tu...
Kwani diamond alitelekezwa akiwa na Umri gani na baba ake????
 
Mzazi ni mzazi tu,Mungu awabariki wazazi wetu wote awape amani na upendo katika maisha yao.
 
Wakati mwingine wanaume tumeumbwa kuteseka kweli tunaweza tukawa tunamlaumu mzee kumbe mwenye kosa ni mama afu akamlisha matango mtoto, hii story naona ka imelala upande mmoja ningekuwa huyo mzee ningeuchuna nife kivyangu yann kujipendekeza sana unawapa raha hao ndo wanachotaka
Possibility hio ipo maana kuna baadhi ya wamama huwa wanaamishia chuki dhidi ya mzazi mwenzao kwa watoto. Na kwa kuwa imezoeleka mtoto wa kwanza wa kiume huwa yupo karibu sana na mama basi mbegu ya chuki imemea tayari na anayepata tabu ni baba mtu.

I really doubt kwa tabia nazoona kama mama chibu hakuwaga kiburi, mpenda makuu na mdangaji enzi hizo wakiwa ndoani. Katika hali ya kawaida mwanaume rijali anawezaje vumilia hali hio aisee, unawezaje mpenda mwanamke jeuri anayekusaliti? Ni vile tu hatujawahi sikia upande wa yule mzee kwamba shida ilikuwa ni nini hasa, amefunikwa na accusations tu kuwa ametelekeza familia kwa vile ndicho kila mtu ameaminishwa hicho. Sidhani kama mwanaume alie well-off na timamu anaeza telekeza family hasa mwanamke na watoto aliozaa bila serious case!
 
Hii kitu wanaifanya wanawake wengi mnapoachana,kwanza lazima akomae kubaki na mtoto/watoto,sasa akifanikiwa hapo kazi inayofuata ni kupandikiza chuki kwa watoto dhidi yako,ni hatari sana hii kitu..
 
Fikili nje ya Box basi, bila us ku publish kwenye public angempata hata uyo zubeda anayemwita mwanaye wa iyari.

Wanadamu tukiwa kwenye furaha tunahisi kama teyari tupo peponi dunia haipo rahisi boss.

Ukitaka kujua nenda jukwaa la kazi na tenda utayajua maisha.
Fikiria kama mwanaume man, huyu mzee alipokua anakula ujana na kuponda maisha, kwani hakujua kama anapaswa ajiandalie maisha ya uzeeni..!!??.[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Yaani mzee anataka kutumia umaarufu wa mwanae kana kwamba ni lazima kijana amsaidie....!![emoji15] [emoji15]
Mkuu kwenye familia kuna mambo mengi sana, hata unapo ona issue kama hizi zikitokea na kijana anapokaa kimya msichani kwamba yeye alafurahia kuona baba yake anafanya ujinga wa aina hiyo.
Alafu...... kumbuka kwamba, mzazi kunsaidia mwanae ni jambo la lazima, lakini mtoto kumsaidia mzazi wake sio jambo la lazima.
Na hii ndio iwe fundisho kwa wazazi wenye mahusiano mbovu na watoto wao.
 
Sasa atumie njia gani ? Kama diamond hua hamtafuti
Alafu soma vizuri umuelewe mzee.yeye anadai mitaani ananyooshewa vidole na kusemwa.kitu hiko kinamuuma
Mkuu, who knows kwamba hata kipindi cha ujana wake mzee alikula raha na kumuacha mwanae akinyooshewa vidole mitaani kwa kujiombeleza ilhali baba yake anao uwezo wa kumsaidia...!!??
Alafu huyo mzee ni boya sana, alipaswa kutumia hekma na busara hata watu wa Dini na wazee ili wampatanishe na mwanae.
Kumbuka hao watu wa magazeti ni wafanya biashara tu ambao wanafaidika kwa habari zake na pasipo kumpa chochote
 
Hii kitu wanaifanya wanawake wengi mnapoachana,kwanza lazima akomae kubaki na mtoto/watoto,sasa akifanikiwa hapo kazi inayofuata ni kupandikiza chuki kwa watoto dhidi yako,ni hatari sana hii kitu..
Yule mazer ni bonge la manipulator halafu ana mdomo, napata ukakasi kwamba yeye hakuwa chanzo cha tatizo! Ukiwa kidume unaejiweza mwanamke akijifanya much know lazma utembeze mbata yakizidi una bullshit tu unaishi kimpango wako. Kisha mwanamke akaanza kumlisha chuki mtoto kuwa baba hawapendi yeye na diamond! Ni hatari sana some women are really evil! Na utakuta Diamond anavyomtosa mzee wake ndio mama yake anavyojiskia bonge la mjanja kumbe ni upuuzi tu.

Diamond ni mjinga tu nae, baba na mama wakigombana children should never take sides. Wazazi wote wanakuhusu in anyhow. Dogo akue huyo
 
Kwahiyo ukiwa na "biff" na mkeo hamuelewani, unaweka hilo chuki mpaka kwa watoto wako na malezi ya wanao hayakuhusu kabisa ??
 
Ukiwa mwanaume wa kweli hayo maswala unaenda nayo vizuri. Hata mzazi nae ni binadamu hakuna mkamilifu. Mwanaume aliepitia msoto anajua maisha na kuishi na watu vizuri kuliko yule alielelewa kwenye mazingira ya kukumbatiwa na mzazi bila kupitia changamoto kali katika maisha!
Me dingi alinizingua balaa mpaka kunikataa but this time ni marafiki balaa na namlea kuliko hata mama.

Pesa imemfanya mzee awe humble hatari!

Aliponiacha hoi ni hapo anaposema mawasiliano na mzazi mwenzie ni pindi anapojisikia hahaha sasa mkiachana kusalimiana lazima? Sasa mtu una mahusiano utakaa kumpihia ex ambaye mna mtoto mwenye simu angeweza kumpigia.

Huyu mzee amempigia lini Daimond halafu akakataa kupokea?

Yatupasa tuwe na mioyo ya kusamehenna kuacha maisha yaendelee.
 
Kuna dini moja yenyewe inasema JINO KWA JINO. Nadhani ndo kinachomtokea huyu dingi
Na ndo mabishano makubwa hapa... Wenye uelekeo wa JINO kwa JINO uwezekano wa kwamba wapo upande unaofundisha hivyo ni mkubwa... Ingawa hata huku kwenye ukristu, wapo wanaoamini kwenye visasi pamoja na kwamba imani yao inawakataza kuamini hivyo
 
Mkuu, who knows kwamba hata kipindi cha ujana wake mzee alikula raha na kumuacha mwanae akinyooshewa vidole mitaani kwa kujiombeleza ilhali baba yake anao uwezo wa kumsaidia...!!??
Alafu huyo mzee ni boya sana, alipaswa kutumia hekma na busara hata watu wa Dini na wazee ili wampatanishe na mwanae.
Kumbuka hao watu wa magazeti ni wafanya biashara tu ambao wanafaidika kwa habari zake na pasipo kumpa chochote
Sema hatuez jua mkuu
Ngoja tuone mwisho wake.ila kwa mimi hata mzee angekua anazingua kiasi gani kamwe nisingesaidia watu tu wa kawaida au wanawake afu mzee aishi hivo
 
Sema hatuez jua mkuu
Ngoja tuone mwisho wake.ila kwa mimi hata mzee angekua anazingua kiasi gani kamwe nisingesaidia watu tu wa kawaida au wanawake afu mzee aishi hivo
Shida ni Mama yake... Anajenga chuki kubwa sana kati ya Diamond na Mzee wake..!! Laiti angekuwa anaamua mwenyewe kumsamehe angemsamehe muda sanaa na maisha ya ngeendelea.. Ona mfano yeye mbona ana Mtoto na Hamisa...ana watoto na Zari lakini bado anapiga umalayaa tu huko nje na visichana vidogoo... Kimsingi yeye binafsi ni mfano hai wa kujua kuwa mama ake labda alikuwa kikwazo kikubwa mpaka baba ake akaamua kuondoka home..

MAMA AKE DIAMOND NDIO TATIZO TRUST ME..
 
Wanaume wa Kiafrica zaidi 90% ni malaya lakini umalaya haukuzuii kutotimiza majukumu yako. Diamond malaya lakini majukumu yake kama mzazi anatimiza, issue nikutimiza majukumu kama baba, ambayo huyu mzee kafeli.

P diddy bonge la malaya na yupo busy lakini still bado yupo karibu na watoto wake. Alafu kosa ufanye mara moja lakini hata kwa Queen Darlin napo alishindwa kutimiza wajibu wake, tukubali mzee alifeli kwa kutowajali watoto wake na ndio maana hata akisema atoe lana haziwapati watoto, sababu amekataa kubeba msalaba wake wa malezi kama mzazi, kwa hiyo hata mbele za Mungu hana kibali cha kutoa lana.

Ila huyu mzee approach ya kutumia vyombo vya habari ili asamehewe, hata kama ningekuwa mm ningemkataa. Issues kama hizi awatafute wazee ambao mama Mondi na Mondi wanawaheshimu na achukue viongozi wa dini wayamalize lakini hivi hata mimi sikusamehi.
 
Back
Top Bottom