Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
ok sawaAnatumia cha mama tu
Taarifa anajaza za mshua tu....kwenye form
Ova
Mashua mizingueee sanaok sawa
Kwani diamond alitelekezwa akiwa na Umri gani na baba ake????Hivi tokea mimba imeingia mpaka amefika form one huyo Diamond alikuwa analelewa na baba gani?Diamond anachopaswa kujua baba yake ni huyo mzee na yeye haruhusiwi kumuadhibu idipokuwa Mungu wake tu...
Possibility hio ipo maana kuna baadhi ya wamama huwa wanaamishia chuki dhidi ya mzazi mwenzao kwa watoto. Na kwa kuwa imezoeleka mtoto wa kwanza wa kiume huwa yupo karibu sana na mama basi mbegu ya chuki imemea tayari na anayepata tabu ni baba mtu.Wakati mwingine wanaume tumeumbwa kuteseka kweli tunaweza tukawa tunamlaumu mzee kumbe mwenye kosa ni mama afu akamlisha matango mtoto, hii story naona ka imelala upande mmoja ningekuwa huyo mzee ningeuchuna nife kivyangu yann kujipendekeza sana unawapa raha hao ndo wanachotaka
Hii kitu wanaifanya wanawake wengi mnapoachana,kwanza lazima akomae kubaki na mtoto/watoto,sasa akifanikiwa hapo kazi inayofuata ni kupandikiza chuki kwa watoto dhidi yako,ni hatari sana hii kitu..Possibility hio ipo maana kuna baadhi ya wamama huwa wanaamishia chuki dhidi ya mzazi mwenzao kwa watoto. Na kwa kuwa imezoeleka mtoto wa kwanza wa kiume huwa yupo karibu sana na mama basi mbegu ya chuki imemea tayari na anayepata tabu ni baba mtu.
I really doubt kwa tabia nazoona kama mama chibu hakuwaga kiburi, mpenda makuu na mdangaji enzi hizo wakiwa ndoani. Katika hali ya kawaida mwanaume rijali anawezaje vumilia hali hio aisee, unawezaje mpenda mwanamke jeuri anayekusaliti? Ni vile tu hatujawahi sikia upande wa yule mzee kwamba shida ilikuwa ni nini hasa, amefunikwa na accusations tu kuwa ametelekeza familia kwa vile ndicho kila mtu ameaminishwa hicho. Sidhani kama mwanaume alie well-off na timamu anaeza telekeza family hasa mwanamke na watoto aliozaa bila serious case!
Fikiria kama mwanaume man, huyu mzee alipokua anakula ujana na kuponda maisha, kwani hakujua kama anapaswa ajiandalie maisha ya uzeeni..!!??.[emoji45] [emoji45] [emoji45]Fikili nje ya Box basi, bila us ku publish kwenye public angempata hata uyo zubeda anayemwita mwanaye wa iyari.
Wanadamu tukiwa kwenye furaha tunahisi kama teyari tupo peponi dunia haipo rahisi boss.
Ukitaka kujua nenda jukwaa la kazi na tenda utayajua maisha.
Mkuu, who knows kwamba hata kipindi cha ujana wake mzee alikula raha na kumuacha mwanae akinyooshewa vidole mitaani kwa kujiombeleza ilhali baba yake anao uwezo wa kumsaidia...!!??Sasa atumie njia gani ? Kama diamond hua hamtafuti
Alafu soma vizuri umuelewe mzee.yeye anadai mitaani ananyooshewa vidole na kusemwa.kitu hiko kinamuuma
Yule mazer ni bonge la manipulator halafu ana mdomo, napata ukakasi kwamba yeye hakuwa chanzo cha tatizo! Ukiwa kidume unaejiweza mwanamke akijifanya much know lazma utembeze mbata yakizidi una bullshit tu unaishi kimpango wako. Kisha mwanamke akaanza kumlisha chuki mtoto kuwa baba hawapendi yeye na diamond! Ni hatari sana some women are really evil! Na utakuta Diamond anavyomtosa mzee wake ndio mama yake anavyojiskia bonge la mjanja kumbe ni upuuzi tu.Hii kitu wanaifanya wanawake wengi mnapoachana,kwanza lazima akomae kubaki na mtoto/watoto,sasa akifanikiwa hapo kazi inayofuata ni kupandikiza chuki kwa watoto dhidi yako,ni hatari sana hii kitu..
Kwahiyo ukiwa na "biff" na mkeo hamuelewani, unaweka hilo chuki mpaka kwa watoto wako na malezi ya wanao hayakuhusu kabisa ??Yule mazer ni bonge la manipulator halafu ana mdomo, napata ukakasi kwamba yeye hakuwa chanzo cha tatizo! Ukiwa kidume unaejiweza mwanamke akijifanya much know lazma utembeze mbata yakizidi una bullshit tu unaishi kimpango wako. Kisha mwanamke akaanza kumlisha chuki mtoto kuwa baba hawapendi yeye na diamond! Ni hatari sana some women are really evil! Na utakuta Diamond anavyomtosa mzee wake ndio mama yake anavyojiskia bonge la mjanja kumbe ni upuuzi tu.
Diamond ni mjinga tu nae, baba na mama wakigombana children should never take sides. Wazazi wote wanakuhusu in anyhow. Dogo akue huyo
Me dingi alinizingua balaa mpaka kunikataa but this time ni marafiki balaa na namlea kuliko hata mama.
Ulishawahi kusikia akisema amemsamehe?Kwani kumsamehe tu ni lazima uwe na ukaribu naye au umsaidie ?
Na ndo mabishano makubwa hapa... Wenye uelekeo wa JINO kwa JINO uwezekano wa kwamba wapo upande unaofundisha hivyo ni mkubwa... Ingawa hata huku kwenye ukristu, wapo wanaoamini kwenye visasi pamoja na kwamba imani yao inawakataza kuamini hivyoKuna dini moja yenyewe inasema JINO KWA JINO. Nadhani ndo kinachomtokea huyu dingi
Sema hatuez jua mkuuMkuu, who knows kwamba hata kipindi cha ujana wake mzee alikula raha na kumuacha mwanae akinyooshewa vidole mitaani kwa kujiombeleza ilhali baba yake anao uwezo wa kumsaidia...!!??
Alafu huyo mzee ni boya sana, alipaswa kutumia hekma na busara hata watu wa Dini na wazee ili wampatanishe na mwanae.
Kumbuka hao watu wa magazeti ni wafanya biashara tu ambao wanafaidika kwa habari zake na pasipo kumpa chochote
Shida ni Mama yake... Anajenga chuki kubwa sana kati ya Diamond na Mzee wake..!! Laiti angekuwa anaamua mwenyewe kumsamehe angemsamehe muda sanaa na maisha ya ngeendelea.. Ona mfano yeye mbona ana Mtoto na Hamisa...ana watoto na Zari lakini bado anapiga umalayaa tu huko nje na visichana vidogoo... Kimsingi yeye binafsi ni mfano hai wa kujua kuwa mama ake labda alikuwa kikwazo kikubwa mpaka baba ake akaamua kuondoka home..Sema hatuez jua mkuu
Ngoja tuone mwisho wake.ila kwa mimi hata mzee angekua anazingua kiasi gani kamwe nisingesaidia watu tu wa kawaida au wanawake afu mzee aishi hivo
Sikiliza wimbo wake unaitwa "Binadamu"Ulishawahi kusikia akisema amemsamehe?
Wanaume wa Kiafrica zaidi 90% ni malaya lakini umalaya haukuzuii kutotimiza majukumu yako. Diamond malaya lakini majukumu yake kama mzazi anatimiza, issue nikutimiza majukumu kama baba, ambayo huyu mzee kafeli.Shida ni Mama yake... Anajenga chuki kubwa sana kati ya Diamond na Mzee wake..!! Laiti angekuwa anaamua mwenyewe kumsamehe angemsamehe muda sanaa na maisha ya ngeendelea.. Ona mfano yeye mbona ana Mtoto na Hamisa...ana watoto na Zari lakini bado anapiga umalayaa tu huko nje na visichana vidogoo... Kimsingi yeye binafsi ni mfano hai wa kujua kuwa mama ake labda alikuwa kikwazo kikubwa mpaka baba ake akaamua kuondoka home..
MAMA AKE DIAMOND NDIO TATIZO TRUST ME..