Mkuu ww ni mchezesha kamariMwanafunzi elewa kuwa kubet ni kamari, na kamari unaingiza pesa. Pesa unayoingiza 95% inachotwa wachezaji mnagombea 5% iliyobaki. Kwakuwa bado mdogo, tena mwanafunzi nakushauri jitahidi kupiga kitabu utajikomboa na pia utawakomboa wazazi wako. Kamari haiwezi kukukomboa kimaisha
Some how lkn haueleweki unachokizungumza pia to a hojaMwanafunzi elewa kuwa kubet ni kamari, na kamari unaingiza pesa. Pesa unayoingiza 95% inachotwa wachezaji mnagombea 5% iliyobaki. Kwakuwa bado mdogo, tena mwanafunzi nakushauri jitahidi kupiga kitabu utajikomboa na pia utawakomboa wazazi wako. Kamari haiwezi kukukomboa kimaisha
Kama unaweza kucheza vizuri kwa pesa zako na ukapiga mpunga safi.Tumegombana sana na mzee kuhusu ishu ya kubeti infact hataki kusikia wala nicheze hii kitu,,mm kama mm nachukulia ni mchezo tu ila kwake ipo tofauti ,,changia kipi sahihi anachosema dingi au ninachosema mm,,,
Alafu bado unakula kwa baba..???
Inaonekana umekuja kuomba ushauri kiujanja ujanja. Kwamba unajifanya kuomba ushauri lakini tayari uamuzi umeshaweka mfukoni. Amua upendavyoMkuu ww ni mchezesha kamari
Kama unaishi mwenyewe mzee anawezaje kuingilia maisha yako,acha kutuzuga ww bado unakula ugali wa shikamoo asubuh ukiamka na makaratasi yako ya kubeti mzee anakucheki tuu...Mwenyewe
Duh kweli kuna watoto humu.Tumegombana sana na mzee kuhusu ishu ya kubeti infact hataki kusikia wala nicheze hii kitu,,mm kama mm nachukulia ni mchezo tu ila kwake ipo tofauti ,,changia kipi sahihi anachosema dingi au ninachosema mm,,,
Soma kwanza utabet ukimaliza masomoNdio