Baba hataki ni beti

Baba hataki ni beti

Mwanafunzi elewa kuwa kubet ni kamari, na kamari unaingiza pesa. Pesa unayoingiza 95% inachotwa wachezaji mnagombea 5% iliyobaki. Kwakuwa bado mdogo, tena mwanafunzi nakushauri jitahidi kupiga kitabu utajikomboa na pia utawakomboa wazazi wako. Kamari haiwezi kukukomboa kimaisha
Mkuu ww ni mchezesha kamari
 
Some how lkn haueleweki unachokizungumza pia to a hoja
 
Tumegombana sana na mzee kuhusu ishu ya kubeti infact hataki kusikia wala nicheze hii kitu,,mm kama mm nachukulia ni mchezo tu ila kwake ipo tofauti ,,changia kipi sahihi anachosema dingi au ninachosema mm,,,
Kama unaweza kucheza vizuri kwa pesa zako na ukapiga mpunga safi.

Lakini kama unaomba kwa mshua pesa ya kubet, mshua yuko sahihi.
 
Kama hoja zenyewe ndo hiz , maendeleo kupata ni vgumu sana mtu unamuuliza X anakujib Y unashindwa kuelewa hawa watu hapo xawa kweli
 
Mkuu ww ni mchezesha kamari
Inaonekana umekuja kuomba ushauri kiujanja ujanja. Kwamba unajifanya kuomba ushauri lakini tayari uamuzi umeshaweka mfukoni. Amua upendavyo
 
Tumegombana sana na mzee kuhusu ishu ya kubeti infact hataki kusikia wala nicheze hii kitu,,mm kama mm nachukulia ni mchezo tu ila kwake ipo tofauti ,,changia kipi sahihi anachosema dingi au ninachosema mm,,,
Duh kweli kuna watoto humu.
 
Back
Top Bottom