Baba in town

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Siwezi kuficha furaha yangu kabisa ama hakika nimekomaa lakini daah hapana siwezi kuificha lazima niwachane na kuwaambia ukweli jamani nimepata watoto wawili mapacha mmoja ni wa kiume na mwingine ni wa kike ama hakika ni furaha tupu niliyokuwanayo wakuu

Nimempa majina wa kiume nimemuita haji na mwingine nimeamua kumuita rushayna hawa watoto nitawapenda sana sana wazeee ama hakika kupata watoto kuna raha yake ila nikizaa mapacha tena mmoja nitamuita queen na mwingine nitamuita year.

Nawasilisha
 
😁😁😁 mmoja muite kibabu mwngne binti
kwa hyo umeamua kumfariji bwana haji manara na mkewe rushayna
 
Mkuu unataka na watoto wako waone kisha waachane?
 
Mapacha gene yake inatoka Kwa mama,sio kuwa wewe ni kidume Sana ,inawezekana umesaidiwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] una maigizo ya shumileta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…