Baba Jergen Jana akitoka bomba

hehehe
haahhaha nilikua nachat nw na NAHUJA pm !ban zinachosha sana ila kuna mtu mwingine anakuchokoa weee km ulizaa na baba yake !mxiew!pole sana my dear !wewe tenaaa !hahaha jazba paap
nilimtukana mpaka kipare atii maana ni jambo ambalo analirudia kwa makusudi na linahatarisha usalama wangu kudadadeki nikaona nimloweshe na matusi na kumweka kwenye ignore list afie mbali huko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ili Mwafrika athibitishe usomi wake hutumia njia moja tu. Kuonyesha ujuzi wake katila lugha ya kigeni hasa ya mkoloni aliyemtawala.
 
hehehe

nilimtukana mpaka kipare atii maana ni jambo ambalo analirudia kwa makusudi na linahatarisha usalama wangu kudadadeki nikaona nimloweshe na matusi na kumweka kwenye ignore list afie mbali huko
yes

kwa siku 3 khaaaaaaaaaa ingeguwa namfahamu yule jamaa ningemtafutia watu wampumulie alinichefua kabisa akaniharibia siku
hahaahahh, umenichekesha kweli.
 
alishamdharau siku nyingi !sky si mwepesi kupandwa jaziba !sio km NAHUJA au Miss Natafuta ,au Mama Sabrina .hahaha mwisho kbs sio km MBITIYAZA au Evelyn Salt lol
hahahaha, ingekuwa mimi ndio amenitukana, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii, kwanza muda nadhani nisingekuwa hapa kwenye uso JF ningekuwa natumikia BAN, mie huwa siwezi kumpuuzia mtu, ni jino kwa jino, agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrhhhhhhhh
 
hahaha mi nilikula naye sahani moja mikatumikia ban kiroho safi
 
hahahaha, ingekuwa mimi ndio amenitukana, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii, kwanza muda nadhani nisingekuwa hapa kwenye uso JF ningekuwa natumikia BAN, mie huwa siwezi kumpuuzia mtu, ni jino kwa jino, agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrhhhhhhhh
Kuna wengine hata kuwajibu ni kuwapa ujiko tu kama huyu shouger mwenye hamu anaedandia kila mtu, ni kumpotezea
 
Mange kimambi mkaushie bwana rais wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…