Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahah hadi umetag CR wao hahahahhahata mie nimejua !ni uchama umempelekea huko ![HASHTAG]#jingalao[/HASHTAG]
hahahahah hadi umetag CR wao hahahahha
nilimtukana mpaka kipare atii maana ni jambo ambalo analirudia kwa makusudi na linahatarisha usalama wangu kudadadeki nikaona nimloweshe na matusi na kumweka kwenye ignore list afie mbali hukohaahhaha nilikua nachat nw na NAHUJA pm !ban zinachosha sana ila kuna mtu mwingine anakuchokoa weee km ulizaa na baba yake !mxiew!pole sana my dear !wewe tenaaa !hahaha jazba paap
kwa siku 3 khaaaaaaaaaa ingeguwa namfahamu yule jamaa ningemtafutia watu wampumulie alinichefua kabisa akaniharibia sikuheee! ndugu yangu Mulhat Mpunga alikuwa na BAN hahahahahaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hehehe
nilimtukana mpaka kipare atii maana ni jambo ambalo analirudia kwa makusudi na linahatarisha usalama wangu kudadadeki nikaona nimloweshe na matusi na kumweka kwenye ignore list afie mbali huko
Mi jazba zangu zipo kwa watu wote except watoto na mashouger!!!!!alishamdharau siku nyingi !sky si mwepesi kupandwa jaziba !sio km NAHUJA au Miss Natafuta ,au Mama Sabrina .hahaha mwisho kbs sio km MBITIYAZA au Evelyn Salt lol
hehehe
nilimtukana mpaka kipare atii maana ni jambo ambalo analirudia kwa makusudi na linahatarisha usalama wangu kudadadeki nikaona nimloweshe na matusi na kumweka kwenye ignore list afie mbali huko
hahaahahh, umenichekesha kweli.yes
kwa siku 3 khaaaaaaaaaa ingeguwa namfahamu yule jamaa ningemtafutia watu wampumulie alinichefua kabisa akaniharibia siku
Ana utoto, si yule alikua anafanya kukuita jina?yes
kwa siku 3 khaaaaaaaaaa ingeguwa namfahamu yule jamaa ningemtafutia watu wampumulie alinichefua kabisa akaniharibia siku
hahahaha, ingekuwa mimi ndio amenitukana, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii, kwanza muda nadhani nisingekuwa hapa kwenye uso JF ningekuwa natumikia BAN, mie huwa siwezi kumpuuzia mtu, ni jino kwa jino, agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrhhhhhhhhalishamdharau siku nyingi !sky si mwepesi kupandwa jaziba !sio km NAHUJA au Miss Natafuta ,au Mama Sabrina .hahaha mwisho kbs sio km MBITIYAZA au Evelyn Salt lol

huyohuyo ....Ana utoto, si yule alikua anafanya kukuita jina?
hahaha mi nilikula naye sahani moja mikatumikia ban kiroho safihahahaha, ingekuwa mimi ndio amenitukana, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii, kwanza muda nadhani nisingekuwa hapa kwenye uso JF ningekuwa natumikia BAN, mie huwa siwezi kumpuuzia mtu, ni jino kwa jino, agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrhhhhhhhh
Kuna wengine hata kuwajibu ni kuwapa ujiko tu kama huyu shouger mwenye hamu anaedandia kila mtu, ni kumpotezeahahahaha, ingekuwa mimi ndio amenitukana, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii, kwanza muda nadhani nisingekuwa hapa kwenye uso JF ningekuwa natumikia BAN, mie huwa siwezi kumpuuzia mtu, ni jino kwa jino, agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrhhhhhhhh
kumbe niKuna wengine hata kuwajibu ni kuwapa ujiko tu kama huyu shouger mwenye hamu anaedandia kila mtu, ni kumpotezea
Ha ha ha sa huyu ujibizane nae wa nini
lolz yupo kwenye ignore list si rahisi nikakutana naye tenaHa ha ha sa huyu ujibizane nae wa nini
Nkikukuta unamjibu namuombea msamaha afu nakuomba unichambe mie