Baba Jergen Jana akitoka bomba

Baba Jergen Jana akitoka bomba

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Jana katika mapokezi ya PK baba Jargern alitokelezea . Alichoniangusha ni kucganganya lugha tu . Sasa unahusu nini kusema " Mheshimiwa Kagame atakapokuwa mwenyekiti wetu ata ya address vizuri maswala haya".

02-15-2.jpg
 
Kumtukana mtu kama Sky Eclat ni kumkosea adabu. Kwanza huyu dada hana shida na mtu. Wala sijawahi kumuona ametukana mtu na si mtu wa jaziba. JF sasa imekuwa ovyo ovyo ovyo. Na hayo matokeo ya form four yatoke tu.
Kwanza ungemjua unayemtukana wala hana minyoo wala taifodi kama wewe!
ila siku hizi na maadmini wamekua slow sana...zaman hata ukifyonya tu ban unayo..ah ah
 
Kumtukana mtu kama Sky Eclat ni kumkosea adabu. Kwanza huyu dada hana shida na mtu. Wala sijawahi kumuona ametukana mtu na si mtu wa jaziba. JF sasa imekuwa ovyo ovyo ovyo. Na hayo matokeo ya form four yatoke tu.
Kwanza ungemjua unayemtukana wala hana minyoo wala taifodi kama wewe!
HAHAHA SIJAJUA KISA CHA HUYU MTU KUMTUKANA HUYU MWANAMAMA
 
Kumtukana mtu kama Sky Eclat ni kumkosea adabu. Kwanza huyu dada hana shida na mtu. Wala sijawahi kumuona ametukana mtu na si mtu wa jaziba. JF sasa imekuwa ovyo ovyo ovyo. Na hayo matokeo ya form four yatoke tu.
Kwanza ungemjua unayemtukana wala hana minyoo wala taifodi kama wewe!

hahahaha yaan nakukwoti kumbe nawe ushayarusha huku hahahahaha had nimecheka jaman !hahahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh kwakweli bora umesema
 
Back
Top Bottom