yaani umeona tu ubadilishe uelekeo na uzito wa ujumbe!!Je, singo mama una lipi la kuwaambia?
Singo mama analea mtoto bila baba, nimemuuliza ana ujumbe gani kwao singo mama?yaani umeona tu ubadilishe uelekeo na uzito wa ujumbe!!
Tuvumilie tuHii muhimu sana.
Tukishamaliza kufanya homework tunacheza karata wote. Inaleta amani sana na furaha Kwa familia.
Shida Kuna wakati mnashindwa dhibiti visirani vyenu mtu unaona bora uchelewe kurudi au ikitokea umewahi upitilize chumbani tu.
Uanaume kazi sana, achilia mbali kuwa Baba.
Kama ambavyo nyie mnatuvumilia. Tukirudi kwenye hoja, kujumuika na familia na kutumia nao muda mwingi ukiwa nyumbani ni dawa ya matatizo mengi sana.Tuvumilie tu
Sana Yani. Hasira zinatokana na nyie kutoshinda nyumbani mara nyingi. TunawamissKama ambavyo nyie mnatuvumilia. Tukirudi kwenye hoja, kujumuika na familia na kutumia nao muda mwingi ukiwa nyumbani ni dawa ya matatizo mengi sana.