mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Punguzeni kuongea halafu ongezeni kutupea utamu muone tutavowahi kuja homeSasa mbona tunawamiss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguzeni kuongea halafu ongezeni kutupea utamu muone tutavowahi kuja homeSasa mbona tunawamiss
Kitu ambacho nimejifunza kutoka Kwa Baba yangu ni kuwa na utaratibu wa kurudi nyumbani mapema, haijalishi kuna nini lakini ilikuwa ni desturi yake kurudi nyumbani mapemaBaba wengi wakati mwingine wanachelewa kurudi nyumbani kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo za kikazi.
Lakini Baba wengine akishahakikisha kila kitu ndani kipo basi ndo kamaliza hivo. Atakuwa anarudi usiku mnene wakati mwingine anaweza asionane na watoto wiki nzima na hajasafiri.
Baba ni yeye tu na marafiki, Marafiki wape muda na watoto wape muda.
Baba wengine hawawezi hata kuwapeleka watoto kwenye michezo hata siku moja. Hata kumtoa out mama mjengo pia hawezi.
Umuhimu wa Baba kurudi nyumbani. Kwanza watoto wanafurahi sana na hasa ukikaa nao kuwauliza maswali ya shuleni na kusaidia homework.
Pili watoto wanapenda kuona baba na mama wakiwa na furaha.
Tatu inasaidia kujenga ukaribu na familia.
Hitimisho
Baba wewe ni wa muhimu uwepo wako nyumbani huleta faraja kybwa sana. Punguza muda wa kukaa na marafiki kila siku wahi nyumbani ndiko amani ilipo.
Tunawapenda wababa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Aisee, nafikiria kumuhamisha kijana wangu...hizi homework imekuwa kama napewa mimi!Kuna jamaa alihamisha mwanaye shule sababu ya homework zilikuwa nyingi ambazo zinalazimu baba arudi home mapema kumsaidia homework kijana wake.
Yaani we aacha tu, hadi unachukia walimu, lkn mtoto akishajua wala hakusumbui tena ilifika mahala nikamuuliza mwalimu kwanini mtoto mnapa maswali magumu ambayo hayawezi, mwl akanijibu hakuna swali analopewa mtoto na hajafundishwa.Aisee, nafikiria kumuhamisha kijana wangu...hizi homework imekuwa kama napewa mimi!
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Mungu atusaidie JamaniUpo sahihi mama halisi,Baba yeyote mwenye kijitambua lazima awe na muda wa kuwa karibu na familia vinginevyo kuna shida mahali.
Hivi kwa maisha ya Daslam kweli kuna watu wanafurahia ndoa zao? Maana unakuta huyo Baba mida mibovu bado hajafika Nyumbani,mama nae ndio yupo huko huko barabarani kwenye mihangaiko yake watoto wameshalala wanaonana na wazazi mara Moja kwa wiki.
Nahisi ungeanza kuchek mzizi kwa nini anachelewa kurudi na kukaa na marafiki? Ikimaanisha hao marafiki wanafamilia zao pia, then why waone vyema kupean kampani usiku mnene? Jibu ni moja wote kitu common walicho kikosa kwa wake zao, URAFIKI, HONESTY , UTULIVU au kuruhusiwa TO BE THEMSELVES. Hao wababa mbali na kuwa baba au boss au dereva au engineer nje ya hizo character na majukumu wao ni watu, wana nafsi they need to be themselves, hiki kitu nyumba nyingi hakipo. Either wanataka baba awe baba masaa yote no time for himself, akiwa na Mancave yake basi mwanamke lazima aingiliee, these men sio slaves wa huduma na ku provide wanahitaj kuwa wao.Baba wengi wakati mwingine wanachelewa kurudi nyumbani kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo za kikazi.
Lakini Baba wengine akishahakikisha kila kitu ndani kipo basi ndo kamaliza hivo. Atakuwa anarudi usiku mnene wakati mwingine anaweza asionane na watoto wiki nzima na hajasafiri.
Baba ni yeye tu na marafiki, Marafiki wape muda na watoto wape muda.
Baba wengine hawawezi hata kuwapeleka watoto kwenye michezo hata siku moja. Hata kumtoa out mama mjengo pia hawezi.
Umuhimu wa Baba kurudi nyumbani. Kwanza watoto wanafurahi sana na hasa ukikaa nao kuwauliza maswali ya shuleni na kusaidia homework.
Pili watoto wanapenda kuona baba na mama wakiwa na furaha.
Tatu inasaidia kujenga ukaribu na familia.
Hitimisho
Baba wewe ni wa muhimu uwepo wako nyumbani huleta faraja kybwa sana. Punguza muda wa kukaa na marafiki kila siku wahi nyumbani ndiko amani ilipo.
Tunawapenda wababa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Halafu tuko hivo kweli sijui kwa nini 😅Nahisi ungeanza kuchek mzizi kwa nini anachelewa kurudi na kukaa na marafiki? Ikimaanisha hao marafiki wanafamilia zao pia, then why waone vyema kupean kampani usiku mnene? Jibu ni moja wote kitu common walicho kikosa kwa wake zao, URAFIKI, HONESTY , UTULIVU au kuruhusiwa TO BE THEMSELVES. Hao wababa mbali na kuwa baba au boss au dereva au engineer nje ya hizo character na majukumu wao ni watu, wana nafsi they need to be themselves, hiki kitu nyumba nyingi hakipo. Either wanataka baba awe baba masaa yote no time for himself, akiwa na Mancave yake basi mwanamke lazima aingiliee, these men sio slaves wa huduma na ku provide wanahitaj kuwa wao.
Unakaa na mtu ndani hakuna urafiki, ananuna tuuu, una mancave yako huyo anataka ingilia 🤣.
Why wanashinda na marafik? Sababu wanaume wanaweza communicate hisia zao fikra zao, matatizo yao bila hata kuambiana yaaani Wanaelewana bila hata kuelezana...
Nje ya Kuwa mume, baba, mfanyakazi, kaka, mjomba n.k Una maisha binafsi ya kuishi ishii, jipe furaha usikomaee huku moyo unajikunja, tenga muda strictly for yourself.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nyumbani panalizisha yani wife yupo romantic mazingira yapo safi tutawai kulidi ila kama mwanamke ana gubu kila wakati mikwaluzano hapo kuludi nyumbani ni mida ya wanga.