Baba Jitahidi kurudi nyumbani mapema wakati mwingine watoto wanakuhitaji sana

Kitu ambacho nimejifunza kutoka Kwa Baba yangu ni kuwa na utaratibu wa kurudi nyumbani mapema, haijalishi kuna nini lakini ilikuwa ni desturi yake kurudi nyumbani mapema
 
Aisee, nafikiria kumuhamisha kijana wangu...hizi homework imekuwa kama napewa mimi!

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Yaani we aacha tu, hadi unachukia walimu, lkn mtoto akishajua wala hakusumbui tena ilifika mahala nikamuuliza mwalimu kwanini mtoto mnapa maswali magumu ambayo hayawezi, mwl akanijibu hakuna swali analopewa mtoto na hajafundishwa.
 
Mungu atusaidie Jamani
 
Nahisi ungeanza kuchek mzizi kwa nini anachelewa kurudi na kukaa na marafiki? Ikimaanisha hao marafiki wanafamilia zao pia, then why waone vyema kupean kampani usiku mnene? Jibu ni moja wote kitu common walicho kikosa kwa wake zao, URAFIKI, HONESTY , UTULIVU au kuruhusiwa TO BE THEMSELVES. Hao wababa mbali na kuwa baba au boss au dereva au engineer nje ya hizo character na majukumu wao ni watu, wana nafsi they need to be themselves, hiki kitu nyumba nyingi hakipo. Either wanataka baba awe baba masaa yote no time for himself, akiwa na Mancave yake basi mwanamke lazima aingiliee, these men sio slaves wa huduma na ku provide wanahitaj kuwa wao.

Unakaa na mtu ndani hakuna urafiki, ananuna tuuu, una mancave yako huyo anataka ingilia 🤣.

Why wanashinda na marafik? Sababu wanaume wanaweza communicate hisia zao fikra zao, matatizo yao bila hata kuambiana yaaani Wanaelewana bila hata kuelezana...

Nje ya Kuwa mume, baba, mfanyakazi, kaka, mjomba n.k Una maisha binafsi ya kuishi ishii, jipe furaha usikomaee huku moyo unajikunja, tenga muda strictly for yourself.
 
Halafu tuko hivo kweli sijui kwa nini 😅
 
Kama nyumbani panalizisha yani wife yupo romantic mazingira yapo safi tutawai kulidi ila kama mwanamke ana gubu kila wakati mikwaluzano hapo kuludi nyumbani ni mida ya wanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…