warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wafilamu Bongo, marehemu Steven Kanumba ,Charles Kanumba ameibuka na kumtakamama Kanumba , Flora Mtegoa kuacha tabia ya kuombaomba michango mbalimbali .
Baba wa aliyekuwa msanii maarufu wafilamu Bongo, marehemu Steven Kanumba ,Charles Kanumba.Akipiga stori na paparazi wetu, BabaKanumba alisema anashangazwa na tabia ya mama Kanumba kuombaomba ambapo hivi karibuni alimuona mjini Shinyanga ambako alikuwa akiomba rambirambi kwenye kumbiza starehe .
"Namshangaa mama Kanumba ni njaa gani hiyo , naomba aache kudhalilisha ukoo wa Kanumba kwani anatumia jina hilo kuombaomba, anahangaika bila sababu zamsingi wakati sisi tuko vizuri, " alisema BabaKanumba.
Mama Kanumba , Flora Mtegoa .Akijibu tuhuma hizo , mama Kanumba alisemakama ana malalamiko yoyote aende mahakamani maana yeye si mume wake ."Aache kunifuatafuata kwani mimi si mkewe na Shinyanga nilialikwa kwenye MissS hinyanga siyo kwamba nilijiendea tu , "alisema .