Baba Kanumba: Mama Kanumba acha njaa

Baba Kanumba: Mama Kanumba acha njaa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wafilamu Bongo, marehemu Steven Kanumba ,Charles Kanumba ameibuka na kumtakamama Kanumba , Flora Mtegoa kuacha tabia ya kuombaomba michango mbalimbali .

Baba wa aliyekuwa msanii maarufu wafilamu Bongo, marehemu Steven Kanumba ,Charles Kanumba.Akipiga stori na paparazi wetu, BabaKanumba alisema anashangazwa na tabia ya mama Kanumba kuombaomba ambapo hivi karibuni alimuona mjini Shinyanga ambako alikuwa akiomba rambirambi kwenye kumbiza starehe .

"Namshangaa mama Kanumba ni njaa gani hiyo , naomba aache kudhalilisha ukoo wa Kanumba kwani anatumia jina hilo kuombaomba, anahangaika bila sababu zamsingi wakati sisi tuko vizuri, " alisema BabaKanumba.

Mama Kanumba , Flora Mtegoa .Akijibu tuhuma hizo , mama Kanumba alisemakama ana malalamiko yoyote aende mahakamani maana yeye si mume wake ."Aache kunifuatafuata kwani mimi si mkewe na Shinyanga nilialikwa kwenye MissS hinyanga siyo kwamba nilijiendea tu , "alisema .
 
Huyu mama ni janga si arudi bukoba hivi bado lulu ndo ana muweka mjini
 
Bado wanatakana hawa...warudiane wazae ze great mwingine basi..
 
yani mi nashindwa kumuelewa huyu mama au ameruka stage?
 
hawa mapaparaz wakati mwingine wanatafutaga ugomvi sasa walienda kumchimba mzee wa watu tu ili wapate cha kuandika
 
Huyu mama nae bado anakwenda kuangalia ma miss.... hatari.
 
Ni kwelii aache kuomba ombaa nae ashakua dada wa mjiniii ameshindwa kuendelezaa mali za mwanae zimsaidier ye amezilaa
 
Huyu mama ni janga si arudi bukoba hivi bado lulu ndo ana muweka mjini

Amuweke mjini wapi? Nasikia alikuwa anataka apate huduma sawa kama mama lulu, yani huyu mama ana kichaa, ila ka lulu kalijitahid mwanzoni kutoa huduma, ila hata wewe ungechoka atahudumiwa mpaka lini? Mama yake lulu mwenyew kanunuliwa piki piki maana lulu alikuwa anamsema sana mama yake kwa watu kuwa anaomba sana hela halafu anatapanya na kunywa pombe
 
Huyu mama nae bado anakwenda kuangalia ma miss.... hatari.

Mmh mwenzangu sasa sijui alikuwa judge au mgeni mualikwa, na anayaweza maana siku naye kawa muigizaji, kesho tutasikia anaimba taarabu
 
Ni kwelii aache kuomba ombaa nae ashakua dada wa mjiniii ameshindwa kuendelezaa mali za mwanae zimsaidier ye amezilaa

Kama nyumba wamenunua, kampuni wameachiwa na vitu kibao, badala wafanye ubunifu waendeleze maisha kazi kuhangaika ovyo
 
wanaompenda diamond wana la kujifunza hapa, kijana akifa ghafla mama diamond asiende kushiriki shindano la bibi bomba.
 
Amuweke mjini wapi? Nasikia alikuwa anataka apate huduma sawa kama mama lulu, yani huyu mama ana kichaa, ila ka lulu kalijitahid mwanzoni kutoa huduma, ila hata wewe ungechoka atahudumiwa mpaka lini? Mama yake lulu mwenyew kanunuliwa piki piki maana lulu alikuwa anamsema sana mama yake kwa watu kuwa anaomba sana hela halafu anatapanya na kunywa pombe

Hiyo pikipiki awe boda boda auu????
 
Huyu mama na hyu mzee mambo Yao yameshindikana. Sasa Huyu bibi kanumba nae arobaini ya msiba wa kanumba haijafika tu arudi kwao? Na alishagombana na sethi Yule dogo wanaesaidiana. Amemzushia kwamba anatumia jina la kanumba na Mali zake kupiga Dili mjini. Arudi akalime bwana Mvua za vuli zinakaribia. Au Ndio ile kijijini sirudi tutabanana humu humu wewe ukipita Ilala Mimi napitia manzese
 
Back
Top Bottom