Baba Kanumba: Mama Kanumba acha njaa


Kweli wamama wengine wagumu kuelewa Lulu alifanya la maana ku stopisha huduma maana hata asingeona aibu the great aliacha mali lakini akashindwa kuzi manage mapema akauza baba kanumba yuko.right
 
hivi karibuni alimuona mjini Shinyanga ambako alikuwa akiomba rambirambi kwenye kumbiza starehe .

hahahahaaaaaaaaaaaaaaa....... imenilazimu kuangalia tarehe ya hii post ili kuhakikisha sio ya miaka kadhaa iliyopita,,..lol
 
hehhehee.... stress za uzeeni ni nooma sanaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…