Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kama nyumba wamenunua, kampuni wameachiwa na vitu kibao, badala wafanye ubunifu waendeleze maisha kazi kuhangaika ovyo
mi nna msemo wangu kusoma kuelewa kukesha mbwembwe...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nyumba wamenunua, kampuni wameachiwa na vitu kibao, badala wafanye ubunifu waendeleze maisha kazi kuhangaika ovyo
Amuweke mjini wapi? Nasikia alikuwa anataka apate huduma sawa kama mama lulu, yani huyu mama ana kichaa, ila ka lulu kalijitahid mwanzoni kutoa huduma, ila hata wewe ungechoka atahudumiwa mpaka lini? Mama yake lulu mwenyew kanunuliwa piki piki maana lulu alikuwa anamsema sana mama yake kwa watu kuwa anaomba sana hela halafu anatapanya na kunywa pombe
hivi karibuni alimuona mjini Shinyanga ambako alikuwa akiomba rambirambi kwenye kumbiza starehe .
hehhehee.... stress za uzeeni ni nooma sanaa..Huyu mama na hyu mzee mambo Yao yameshindikana. Sasa Huyu bibi kanumba nae arobaini ya msiba wa kanumba haijafika tu arudi kwao? Na alishagombana na sethi Yule dogo wanaesaidiana. Amemzushia kwamba anatumia jina la kanumba na Mali zake kupiga Dili mjini. Arudi akalime bwana Mvua za vuli zinakaribia. Au Ndio ile kijijini sirudi tutabanana humu humu wewe ukipita Ilala Mimi napitia manzese
Jaman bado kachanganyikiwa kuondokewa na jembe lake
Bado wanatakana hawa...warudiane wazae ze great mwingine basi..
View attachment 170069
Mama ndani ya Brazilian hair mtamtaka alivyopendeza??
hahaha Makubwa...Mmh mwenzangu sasa sijui alikuwa judge au mgeni mualikwa, na anayaweza maana siku naye kawa muigizaji, kesho tutasikia anaimba taarabu