Baba Kanumba: Wanaotaka uzao wa Kanumba wajitokeza

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Baba wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kusekwa. Na Gladness Mallya

BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kusekwa amefunguka kuwa baada ya kutangaza kuwa wanawake wanaotaka uzao wake wajitokeze azae nao, wamejitokeza kumi lakini akawapa masharti, yakawashinda.

Akizungumza na mwandishi wetu, baba Kanumba aliweka bayana kuwa warembo hao waliojitokeza aliwapa sharti la kwenda kupima Ukimwi lakini ajabu wote waliingia mitini.

"Wamejitokeza vizuri lakini nashangaa wote wamekuwa wazito katika suala la kupima Ukimwi wameingia mitini, kama wapo wengine watakaolimudu sharti hilo, nawakaribisha," alisema baba Kanumba.
 
Du, kumbe mzee ana kipaji cha usanii kama Steven kanumba!
Like father like son!
 
Hvi hili lizee ni lizima kweli?
 
Anatafuta kick?? Si aende bongo movie??,chiz kwel anajifanya ndo ana damu kali anazaa vipaji au??
 
ha ha ha ha ha ha ha haaaa yaani nimecheka aisee mpaka bas duniani kuna watu wa ajabu jamani khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…