Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
- Thread starter
- #21
Asante sana mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Basii dadaangu mzuri Shadeeya hapo unaona 'umetuchokoodha' mwenyewe, basii wewe ni mpole sana! Nilivyoona 'uchokozi' nikajua nitakuta mpaka vyombo vimevunjika JF? Majukwaa yamevurugika kiasi kwamba nitaikuta love connect kule jukwaa la Intelijensia.??
Happy belated birthday mkuu Analyse simulizi ya maisha yako bado inaishi ndani yangu.! My love to Dad and your Son.!
Point is well noted.!!
Hapoy birthday mkuuNamshkuru Mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai na salama mpaka siku hii ya leo (28th April).
Nimeamka asubuhi mida ya saa 12,nikakuta msg tatu zote toka kwa mpenzi wangu akinitakia heri katika hii siku ya leo. Nikareply then tukachat kidogo. Baada ya muda ikaingia msg toka kwa Mama, nae akinitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa. So far hao ndio watu pekee walioweza kunitafuta nje ya mitandao ya kijamii.
Baada ya kuoga, nikaamua kumpigia simu mzee wangu. Maongezi yalipoanza hadi kuisha, hakuzumgumzia lolote au kuonesha anajali siku yangu ya kuzaliwa. Ila nilivutiwa sana na maongezi yake, ndio maana nikaamua kushare na nyie hapa.
Baada ya salamu na story chache, aliniambia. "Unajua hii corona imekuwa tatizo sana, ila uwepo wake umeweka somo kubwa sana. Unajua imezoeleka kwamba, tunafanya kazi, na kuwekeza kwenye vyanzo tofauti tofauti vya mapato ili kujikwamua kiuchumi. Lakini toka ili gonjwa lije, limegusa uchumi wa kila mtu kwa namna moja au nyingine, na kama litaendelea, basi hata wenye vyanzo vingi nao watatetereka sana,kipindi ambacho wengine mpo hoi "
Wekeza kadri uwezavyo,ila ningependa kukukumbusha kwamba hakuna akiba mbaya. Ikitokea leo hii umepata tatizo la kiafya na hauwezi kufanya kazi,vyanzo vyako vya mapato vitakuokoa. Na ikitokea wewe ni mzima kiafya,ila vyanzo vyako vya mapato haviwezi kufanya kazi,akiba yako itakuokoa,jifunze kuweka akiba."
Maneno yake yalikuwa hayo. Yakafatwa na ukimya kidogo. Kisha tukaagana.
Naomba nirudie ndugu zangu. Hakuna Akiba Mbaya.
Heri ya kuzaliwa Analyse.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Baba hapindishi. Asante sana mkuu.Hapoy birthday mkuu
Baba mtata anachana tu[emoji28][emoji28]
Inachekesha Sana,Kuna lile tukio la kujifanya fundi bomba TabataMie mpak leo nacheka jamani na ike stry yake..ninachekaga zaidia alikua sehem anakunywa chai..tv iko kipindk cha tuition startv...🤣🤣! Akaona neno likamchoma..akamwambia mama ntilie abadilishe kipindi mama ntilie akamjibu kibabe maliza kula uondoke🤣🤣🤣🤣! Sitaacha kucheka aisee
Hahahahaaa!! Lol.😂😂😂
Basii dadaangu mzuri Shadeeya hapo unaona 'umetuchokoodha' mwenyewe, basii wewe ni mpole sana! Nilivyoona 'uchokozi' nikajua nitakuta mpaka vyombo vimevunjika JF? Majukwaa yamevurugika kiasi kwamba nitaikuta love connect kule jukwaa la Intelijensia.??
Happy belated birthday mkuu Analyse simulizi ya maisha yako bado inaishi ndani yangu.! My love to Dad and your Son.!
Point is well noted.!!
Jamaa akasema watu wa Dar wanaongea haraka haraka Sana ,ukiongea neno moja wao maneno kumi.Pale kwa mama lishe jamaa akagonga msosi wakati hana hata mia.Hahahahaaa!! Lol.
Mkuu una kumbukumbu nzuri sana. Umeikumbuka hadi hii kauli ya mshua [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie mpak leo nacheka jamani na ike stry yake..ninachekaga zaidia alikua sehem anakunywa chai..tv iko kipindk cha tuition startv...[emoji1787][emoji1787]! Akaona neno likamchoma..akamwambia mama ntilie abadilishe kipindi mama ntilie akamjibu kibabe maliza kula uondoke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Sitaacha kucheka aisee
Japo nimechelewa kuuona uzi ila nikwambie kuwa tuko pamoja [emoji1666][emoji1666]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inachekesha Sana,Kuna lile tukio la kujifanya fundi bomba Tabata
Huwa sisahau vitu amazing kama hizo,mwanaume hatakiwi kulia ati.Mkuu una kumbukumbu nzuri sana. Umeikumbuka hadi hii kauli ya mshua [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume Ni kiumbe kinachotoweka kwa kasi Sana Sasa hiviSure...ingawa sasa hivi sijui kuna shida gan!! Wanaume wengi wanalia lia balaa had kero
🤣Mwanaume Ni kiumbe kinachotoweka kwa kasi Sana Sasa hivi