Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,123
- 2,449
Katika hali isiyo ya kawaida,kuna raia shazi wameonekana katika maeneo mbalimbali ya Darisalade wakiwa na mabango. yaliyoandikwa'Baba Kasema'Wajuba hao wameonekana fas za kawe,Buguruni,Barabara ya posta nk.
Wao ni kina nani wabishane na maelekezo ya Baba?
Leo kuanzia saa7 Mchana Macho yote na Masikio kwenye XXL ya Clouds FM na Clouds TV.
@NgarenaroBoy.
Wao ni kina nani wabishane na maelekezo ya Baba?
Leo kuanzia saa7 Mchana Macho yote na Masikio kwenye XXL ya Clouds FM na Clouds TV.
@NgarenaroBoy.